Nani alishagonga afande humu?

Nani alishagonga afande humu?

Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.

Wewe unatafuta msiba.
Ukimgonga afande ata kama alikuwa na makosa, itakula kwako.
Japo ni binadamu kama binadamu wengine, sikushauri kabisa kuwagonga utazeekea mahabusu bila kupelekwa mahakamani
 
Nimewagonga kinoma hao, maafande wengi wa kike ni malaya wa kutupwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kusema ule ukweli nimewagonga watatu tu, kwaivo siwezi sema ni malaya kuliko watu wa fani nyingine. Mambo ya kuridhiana hayo ni nature tu, mkielewana na hali inaruhusu poa, hakuna issue ya kusema malaya unless useme uliwakuta barabarani wanajiuza.
 
Siku moja nkia attend house party ya maafande .asee,
Askari wa kike wazuri bhas tu uniform zao na ile mentality ya askari bongo waznguaji inafanya tuwe vpofu

Sent using Brain
Umeonaeh? Kuna madini ya ukweli!
 
Mpelelezi tena quoters kwake. Baada ya muda ikawa kila Jumapili yakawa mazoea nashinda naye home kwake then jioni ananisindikiza tunagonga bieri anarudi home kwake. Wenzake walianza kuni-mind kinoma eti nawadharau kwamba kambi nzima hakuna kidume hadi namfuata mwenzao na kumchapia makazini kwao.
Huyo chukua tahadhari, hawaaminiki. Anaweza kukugeuzia kibao any time. Au kama kuna ishu anakugeuza source.
Mimi yule traffic tumesaidiana kwa mengi sana hadi leo.
 
Huyo chukua tahadhari, hawaaminiki. Anaweza kukugeuzia kibao any time. Au kama kuna ishu anakugeuza source.
Mimi yule traffic tumesaidiana kwa mengi sana hadi leo.
Wengi walinambia hivyo nikakata mawasiliano naye kabisa. Wakati namchukua sikujua kuwa anafanya kazi hiyo. Alisema hapo ni kwa dada yake yuko masomoni.
 
Mie pia nilimdinya trafiki alinikamata nikagoma kumlipa akang'ang'ania leseni nikamwachia nikasepa ila nilimshika sura na jina wenzake walikuwa wanamwita kesho yake nikaenda kituoni wakanipa namba yake ya simu nilipompigia akaniambia yuko kwenye kikao cha harusi nimfuate nikamkuta anagonga kitu cha bierre liquid nikamwongezea akanirudishia leseni bila faini baadae akawa akitaka kunywa ananipigia tukaenda nae mpk nikapiga alikuwa na pajaz balaa. Nilimla sana ila baadae alihamishiwa Moro
 
Back
Top Bottom