Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Wewe unatafuta msiba.
Ukimgonga afande ata kama alikuwa na makosa, itakula kwako.
Japo ni binadamu kama binadamu wengine, sikushauri kabisa kuwagonga utazeekea mahabusu bila kupelekwa mahakamani