Nani alishatokewa na hii situation?

Nani alishatokewa na hii situation?

Marine creature

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
2,259
Reaction score
2,971
Habar za J2 wana MMU.

Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kiukweli iliniacha kwenye situation....niseme tu nliangukia kweny upendo kwa binti mmoja ambaye tulikutana mwaka 2019, kipindi hicho ndo anakarbia kumaliza form six, bac kijana wa watu nikajitoa kwel na kuonesha care ya hali ya juu kwake, ila kuna kipindi tulikuwa tunakwazana ila uzur tulikuwa tunaombana msamaha na yakaisha.

Tatzo limeanza mwaka huu, baada ya kumaliza six na kupangwa chuo fln kweny hili jiji la miamba...alianza vitabia vya kuanza kusema yuko bussy japo nkiomba game kila wknd alikuwa ananiletea frsh na kama show nlikuwa nasimamia vizur as if naenda kupokea mshahara mwshon mwa mwezi, muda ulivyokuwa unaenda nlianza kuhic utofaut kweny show kwan mbususus ilikuwq ime expand sana afu wkt wa sex anadai kuwa anapata maumivu.

Baada ya kumdodosa sanaa akanambia alitumia pads fln iv zikamletea fungus,sikuamin sanaa ila kwa sababu nlikuwa nampenda ikabd tu niendelee kuamin japo kishingo upandee.....mwez huu watatu wkt nikiwa kweny maomboleze ya Rais wetu,nikawa suprised na msg kutoka kwake nayo ilijieleza vzur"Eric its not my offical name,naomba tuachane,nina guilty moyon na sina aman kabxa japo nakupenda ila si deserve kuwa gf wako, you deserve better"ikabid nimuulize 'wht mistakes have u done?'

Ndo ananambia kacheat na moyon hana aman, surely nlipata maumivu ila nkajarbu sasa kumpgia ili nijue kwa nn alifanya hivo ili nixt nikiingia kwny mahusiano mengine nijue nini natakiwa nijirekebishee,cha ajabu aliniblock..nlichofanya kwa kwel nlimtumia msg ambazo zilikuwa too worst kwake na hapo nkaamua kumpotezea cz alichoamua niliona kama kadhamiria...tumekaa kama mwez hiv hakuna mawasiliano, nikawa nmepost pc fln nipo kiwanja na wana tunakula maisha, kuonap vile akaanza kunijarbu na msg ohh!mara umependeza...nliamua kukaa kimya bila kumjibu,akafanya kumtumia rafiki yake anipange ili turudiane.

Nilichoamua ni kumtongoza rafiki yake,baada ya kupata taarifa zile akaanza kupanic kwamba nawezaje kumtongoza rafik yake? Tukawa tumetoleana toxic words na kila mmoja akala kona yake..In short huyu demu alikuwa ananifanyia dramaa cz alikuwa anajua kuwa kwake siwez chomoa ila nmeamua ku move on..imeisha kama miez miwil na hapa naona nlimtolea maneno makali ambayo ki ubinadamu sina budi kumuomba msamaha ili kila mtu awe na aman huko aliko kwan mm huwa sina tabia ya kumrudia mwanamke msalitii, so juz nkasema acha n excuse kwa maneno makali nliyomtolea....

Dem kawa mkali na kusema kuwa hawez nisamehe na wala hatak kuona msg zangu na akanibloc ..yeye anahc labda nataka turudiane wkt mim sipo kabxa ila nataka tuachane tu kwa aman cz uadui hauna maana hasa kama mlipendana ila ilikuwa ngumu kufikia expectatios
 
Why do you care?
Wote mnapenda Drama!!! mtu niachane nae bado mara sijui amtume mwenyekiti anifate turudiane mara mimtongoze mwenyekiti, Yani ni bado naucheza mchezo wake nazunguka kwenye himaya yake...Nyie wenzetu mnawezaje [emoji28][emoji28][emoji28]
Unajua kumove on bro? Yani unafunga vioo vyote kama kanisa la sabato.
 
Why do you care?
Wote mnapenda Drama!!! mtu niachane nae bado mara sijui amtume mwenyekiti anifate turudiane mara mimtongoze mwenyekiti, Yani ni bado naucheza mchezo wake nazunguka kwenye himaya yake...Nyie wenzetu mnawezaje [emoji28][emoji28][emoji28]
Unajua kumove on bro???? Yani unafunga vioo vyote kama kanisa la sabato...

Sent using Jamii Forums mobile app
Under twenty
 
Habar za J2 wana MMU...

Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kiukweli iliniacha kwenye situation....niseme tu nliangukia kweny upendo kwa binti mmoja ambaye tulikutana mwaka 2019, kipindi hicho ndo anakarbia kumaliza form six, bac kijana wa watu nikajitoa kwel na kuonesha care ya hali ya juu kwake, ila kuna kipindi tulikuwa tunakwazana ila uzur tulikuwa tunaombana msamaha na yakaisha....

Tatzo limeanza mwaka huu, baada ya kumaliza six na kupangwa chuo fln kweny hili jiji la miamba...alianza vitabia vya kuanza kusema yuko bussy japo nkiomba game kila wknd alikuwa ananiletea frsh na kama show nlikuwa nasimamia vizur as if naenda kupokea mshahara mwshon mwa mwezi, muda ulivyokuwa unaenda nlianza kuhic utofaut kweny show kwan mbususus ilikuwq ime expand sana afu wkt wa sex anadai kuwa anapata maumivu.....

Baada ya kumdodosa sanaa akanambia alitumia pads fln iv zikamletea fungus,sikuamin sanaa ila kwa sababu nlikuwa nampenda ikabd tu niendelee kuamin japo kishingo upandee.....mwez huu watatu wkt nikiwa kweny maomboleze ya Rais wetu,nikawa suprised na msg kutoka kwake nayo ilijieleza vzur"Eric its not my offical name,naomba tuachane,nina guilty moyon na sina aman kabxa japo nakupenda ila si deserve kuwa gf wako, you deserve better"ikabid nimuulize.....wht mistakes have u done?

Ndo ananambia kacheat na moyon hana aman, surely nlipata maumivu ila nkajarbu sasa kumpgia ili nijue kwa nn alifanya hivo ili nixt nikiingia kwny mahusiano mengine nijue nini natakiwa nijirekebishee,cha ajabu aliniblock..nlichofanya kwa kwel nlimtumia msg ambazo zilikuwa too worst kwake na hapo nkaamua kumpotezea cz alichoamua niliona kama kadhamiria...tumekaa kama mwez hiv hakuna mawasiliano, nikawa nmepost pc fln nipo kiwanja na wana tunakula maisha, kuonap vile akaanza kunijarbu na msg ohh!mara umependeza...nliamua kukaa kimya bila kumjibu,akafanya kumtumia rafiki yake anipange ili turudiane.

Nilichoamua ni kumtongoza rafiki yake,baada ya kupata taarifa zile akaanza kupanic kwamba nawezaje kumtongoza rafik yake? Tukawa tumetoleana toxic words na kila mmoja akala kona yake..In short huyu demu alikuwa ananifanyia dramaa cz alikuwa anajua kuwa kwake siwez chomoa ila nmeamua ku move on..imeisha kama miez miwil na hapa naona nlimtolea maneno makali ambayo ki ubinadamu sina budi kumuomba msamaha ili kila mtu awe na aman huko aliko kwan mm huwa sina tabia ya kumrudia mwanamke msalitii, so juz nkasema acha n excuse kwa maneno makali nliyomtolea....

Dem kawa mkali na kusema kuwa hawez nisamehe na wala hatak kuona msg zangu na akanibloc ..yeye anahc labda nataka turudiane wkt mim sipo kabxa ila nataka tuachane tu kwa aman cz uadui hauna maana hasa kama mlipendana ila ilikuwa ngumu kufikia expectatios
Ulimuomba msamaha ni MAMA yako huyo au ni MUNGU?

Acha utoto,demu ni malaya na ma-dhambi yake wewe unamwambia neno SAMAHANI? ungekua karibu hapa ningeku chapa kofi
 
Dah! Sasa mmh! Anyway ngoja nione wanakushauri nini maana sioni cha kuongea hapo zaidi ya kutumia Akili
 
Mambo ya mapenzi mapenzi,unayapa nafasi kwenye maisha yako kama kitu cha maana sana,mwisho wa siku usipoangalia tutasikia umekunywa sumu...
 
Back
Top Bottom