mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Umeandika utopoloNina tutoto wa Shem wangu tumemaliza Form Six hapa home.
Sasa najaribu kuwaangalia nipate picha tutoto umri huu tunajigambaje tunasimamia shoo sipati picha kabisa
Tundevu twenyewe ni twa kuunga Unga. Aisee[emoji22][emoji22]
Nyie ndiyo mnatuharibia kiswahili chetu
Acha ujinga wewe andika lugha kwa ufasaha
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app