Nani alishatokewa na hii situation?

Huo ndiyo ukweli. Surely, I was so shocked but at the end of day I concurred with what I dreamt.
It happens and am not loughing at all, its just that i did not expect it.

By the way, do you know what does it mean? Dreaming of someone you never met means you feel lonely and you didn’t found a person to love so your subconscious creates this someone in your dreams.

Because you have desires, you will create someone perfect in your dreams and that helps your brain release endorfines and not get depressed of being lonely or not feeling attractive enough.
 
Siamin sanaa kuvunja mahusiano kwa kuanzisha uadui,hii ilitokea tu accidentally cz nlikuwa desperate..kama kuna la kushauri unaruhusiwa pia mkuu
We ni mwanaume ukiamua kusonga mbele songa tu usiyumbishwe na vitu vidogo kama hivyo
 
We ni mwanaume ukiamua kusonga mbele songa tu usiyumbishwe na vitu vidogo kama hivyo
Pamoja mkuu,ila c kwamba nataka nimrudie,ila napenda niwe na amani tu hayo mengine cjui kurudiana haitokaa itokee cz kama mazi kakir mwenyew kuwa amecheat kuna haja gan ya kuendelea na mtu kama huyo?
 
Pamoja mkuu,ila c kwamba nataka nimrudie,ila napenda niwe na amani tu hayo mengine cjui kurudiana haitokaa itokee cz kama mazi kakir mwenyew kuwa amecheat kuna haja gan ya kuendelea na mtu kama huyo?
Sawa mkuu
 
Thank you so much for your clarification...Abrianna.

Frankly speaking, what you have said is really happening to me.

Kwa ushauri wako huu nimejikuta moyo wangu umekuwa na amani ghafla na furaha ya kupindukia.

Ahsante sana kwa kuwa daktari wa moyo wangu...Abrianna.
 
Nina tutoto wa Shem wangu tumemaliza Form Six hapa home.
Sasa najaribu kuwaangalia nipate picha tutoto umri huu tunajigambaje tunasimamia shoo sipati picha kabisa

Tundevu twenyewe ni twa kuunga Unga. Aisee😢😢
 
Karibu
 
Nina tutoto wa Shem wangu tumemaliza Form Six hapa home.
Sasa najaribu kuwaangalia nipate picha tutoto umri huu tunajigambaje tunasimamia shoo sipati picha kabisa

Tundevu twenyewe ni twa kuunga Unga. Aisee[emoji22][emoji22]
Japo anaweza kukuliza huyo pamoja na ndevu za kuungaunga.
 
C kwamba nmeshndwa bt kuna maneno makali nlimchana pnd nikiwa desperate yananifanya nakuwa na guilty kiaina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…