Nani alishauri wanase sauti zao na ziwekwe hadharani?

Nani alishauri wanase sauti zao na ziwekwe hadharani?

MLO

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
197
Reaction score
84
Ndg zangu,

Ningependa kumshukuru MwenyeEnzi Mungu kwa nafasi ya kuona na kujifunza Tanzania.

Pia kwa mujibu wa imani zote upagani na dini mapokeo zote zinatamka laana ni mikosi na matukio mabaya ambayo ni matokeo ya jamii au wanajamii kuenda kinyume na misingi waliyiirithi.

Ndani ya utawala wa JPM Kuna misingi ya mfumo wa uendeshaji wa Nchi ulikiukwa na umezaa laana ambayo tukiwa hai tutayaona. Laana ilianzia hapa



Utawala nilioutaja ulikuwa umezungukwa na mambo mengi itoshe tu kusema hivyo. Kutoka mtawala mwenyewe kukiri AMEJITOA SADAKA KWA WATANZANIA bila shaka kulikuwa na vitisho ama ndani au nje.

Kitendo cha kujua baadhi na kuwanasa SAUTI ZAO ilikuwa ni laana kuruhusu zirushwe hewa itoshe kusema iliwaungani maadui wa ndani na nje dhidi ya JPM na serikali yake. Pia baada ya kurushwa hewani ilikuwa ni intelligence error kuwasamehe because it was fake confession.

Baada ya Hawa watu kuungana Kila mtu ajua serikali ya JPM ilianza kusambaratika kidogo kidogo.

Kidogo kidogo walionaswa SAUTI ZAO wakaanza kurudi kulamba asali na maneno ya kejeli zilezile zilizonaswa na kurushwa hewani another intelligence error. Vyombo vya ulinzi na usalama vilikaa kimya mwanzo hata juzi Dodoma hakuna aliye hojiwa ilikuwaje wazuri hawafi na wabaya wanakufa?

Laana bwana ikawatafuna Bashiru,Pole pole,Sirro,Mabeyo na Sasa Diwani. Mwenye akili timamu atajiuliza akina nani walinasa SAUTI zetu. Hakuna atakayepona aliyekuwepo kwenye nyakati za kunasa SAUTI hata kama ni Mwenyekiti, atakayepona atakuwa mnyonge sana.

Lakini laana hiyo itakuwa mtaji kwa vyama mbadala ambao Hadi Sasa wanawasakama waliopukutishwa, kwa kauli mbalimbali kama wao ndiyo risasi za dodoma, magunia baharini bila kujua walifunguliwa makusudi kuzima Soo na walionaswa SAUTI

Wakimaliza huyu naye alikuwa namba mbili kwa ushauri ataachaje kuhusika Laana.

Kutoka a na makosa ya vyombo vya ulinzi na usalama kufumbia Macho SAUTI zile na kejeli za Dodoma kikundi hicho kinajidhatiti kuhodhin nchi huku mpasuko na laana zikiendelea kuitafuna TAWALA na jamii ya WATANZANIA.

Jamii ya WATANZANIA wanahoji walamba asali wapo juu ya Sheria.

Mwisho LAANA hii itarudi tena kuwatafuna walamba asali maana ni sehemu ya jamii.

Leo walamba asali watashindwaje kuhoji na alitunasa SAUTI zetu anafanya nini pale atupishe tulambe asali.

Viongozi wa ulinzi na usalama waliokuwa washauri wakuu wa serikali enzi hizo hawawezi kukaa meza Moja na makamu Mwenyekiti aliyepitia kashfa za kunasa SAUTI.

Ahsante
 
Niliwahi kuandika uzi humu, balozi sefue alivyotimuliwa usiku ikulu kibabe yote sababu ya kusikiliza calls za wanaume wenzake.
 
Sauti ni zao hivyo wana uhuru wa kuzifanya chochote
 
Back
Top Bottom