Nani alishawahi kukutana na "changamoto" hii alipoenda kwenye hoteli ya gharama

Nani alishawahi kukutana na "changamoto" hii alipoenda kwenye hoteli ya gharama

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Mnapoenda kwenye 5 star hotels na mnakutana na mabomba ya aina hii huwa mnafanyaje wakuu

Binafsi huwa na-pause kwanza naangalia wengine wanafanyaje


 
Munch wa Annabelle tusimulie kile kisa cha kunyanduliwa na Chizi Maarifa pale hyatt
Screenshot_20260122_092613_Google.jpg
 
Back
Top Bottom