Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Imezoeleka kwa watanzania kuita nyimbo laini kama za wasanii hapo juu blues. Lakini ukweli ni kuwa blues ni nyimbo za aina tofauti kabisa na wala siyo laini.
Na hata ukitafuta huwezi kuta wanasema Celine Dion anaimba blues. Blues ni nyimbo za kelele na ndiyo zilizaa Rock n' Roll. Ni nyimbo za kelele, kushout na magitaa kulia sana. Sasa ni nani alituingiza chaka kuwa blues ni nyimbo laini?
Blues yangu pendwa.