Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Inasadia vipi maendeleo ya nchi?Imezoeleka kwa watanzania kuita nyimbo laini kama za wasanii hapo juu blues. Lakini ukweli ni kuwa blues ni nyimbo za aina tofauti kabisa na wala siyo laini. Na hata ukitafuta huwezi kuta wanasema Celine Dion anaimba blues. Blues ni nyimbo za kelele na ndiyo zilizaa Rock n' Roll. Ni nyimbo za kelele, kushout na magitaa kulia sana. Sasa ni nani alituingiza chaka kuwa blues ni nyimbo laini?
Blues yangu pendwa.
We kunijibu inakusaidia nini maishani mwako?Hiyo
Inasadia vipi maendeleo ya nchi?
Nenda kajenge nchi mkuuTakataka
Nimesikitika sana. Sipati picha mateso yao kabla ya kifo. Binafsi nasema waokoaji wamejitahidi, hatutegemei kuwa na uokoaji kama dunia ya kwanza.Nasikia wamekufa 19,una lipi la kusema mkuu,maana suala la safari hatuna pa kukimbilia aisee
Coutry rock, soft rock, pop etcKwahiyo hizo za kina selina ndo zinaitwaje mkuu??
Kwani kirefu Cha RNB ni niniCoutry rock, soft rock, pop etc
Ulikua unajidanganya mwenyewe na circle yako, wengine tunalitambua hilo siku zote.Imezoeleka kwa watanzania kuita nyimbo laini kama za wasanii hapo juu blues. Lakini ukweli ni kuwa blues ni nyimbo za aina tofauti kabisa na wala siyo laini.
Na hata ukitafuta huwezi kuta wanasema Celine Dion anaimba blues. Blues ni nyimbo za kelele na ndiyo zilizaa Rock n' Roll. Ni nyimbo za kelele, kushout na magitaa kulia sana. Sasa ni nani alituingiza chaka kuwa blues ni nyimbo laini?
Blues yangu pendwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fanya jaribio la kula huku ukisindikizwa na Singeli uone kama chakula kitapanda!![emoji23][emoji23]Sawa Hili Nalo Tutakwenda Kulitazama Na Watu Wangu