Nani aliwadanganya watu jela kuna mambo ya kubakana?

Nani aliwadanganya watu jela kuna mambo ya kubakana?

Ni kumuomba Mungu tu mkuu maisha Kule hayana utu
Mzee wangu alisha wai onja hii joto ya jiwe alinisimulia mikasa ya huko ndani ni balaa! Alikaa mwaka mmoja lakini ana kuambia huo mwaka kwake ulikua ni kama maisha yake yoote[emoji23][emoji23]

Alipata tatizo la masikio kama majipu, hivyo akawa anahitaji matibabu[emoji17] sijui ilikuaje kwenye ku process hiyo ruksa akakutana na mkuu wa gereza kindi hicho ( kigoma ), jamaa wakati anamkagua hayo masikio aliodai yana muuma na kuvuja usaa mithili kama kuna majibu yametokea sikioni, hamadi alisikia kibao kimetua hapo sikioni na majipu yakapasuka hapo[emoji26]

Walikua washenzi sana, sijui kwa sasa kama wamerekebika
 
Hivi huko gheto kuna magodoro kweli au ni kama rumande tuu!?
 
Mzee wangu alisha wai onja hii joto ya jiwe alinisimulia mikasa ya huko ndani ni balaa! Alikaa mwaka mmoja lakini ana kuambia huo mwaka kwake ulikua ni kama maisha yake yoote...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uyo aisee Ni hatari Sio binaadamu
 
Wanatiana ujinga watoto wa mama.. By experience ole wake mtu akutwe anampumulia mwenzie kisogoni.. WALAH wake jamaa wanapiga wanajeshi wakasubiri... Magereza yenye msongamano wa watu ayo mambo yapo na ni kwa kukubaliana... Ila ole wake ashikwe mtu either ashikwe na wafungwa wenzie, mahabusu au askari jela.. Ndo utajua kwanini wale askari jela sio watu wazur ukijaa 18 zao
 
Kumbe hali ni tofauti?Sasa sikuhizi kila Uzi wa Mbakaji ukija humu utasikia "Ngoja na yeye akaolewe na Nyampara
 
Back
Top Bottom