Nani aliwadanganya watu jela kuna mambo ya kubakana?

Kubakwa labda utake mwenyewe, tena usionwe na manyampara au wafungwa na mahabusu. Ila kuna manyampara yana tabia za kuuliza wageni wasafishwe mfereji. Haijulikani huo mfereji unasafishwa wapi wakati mazingira ya huko selo hayana faragha na chooni foleni haishi. Kwa ujumla vitendo vya ulawiti gerezani ni ngumu kufanyika kwa kuwa hakuna faragha ya kufanya tendo hilo
 
Binafsi sijawahi kukaa jela, ila numeishi sana kwenye kambi za magereza.

Kiuhalisia, jela hakuna kubakana au kulazimisha lakini Kuna wafungwa wengi tu wanaotaka wanafirwa sana. Na Askari wanajua, mpaka huwa wakitoka unakuta Askari anasikitika tu.
 
Wewe umezidisha chumvi,mtoa mada kakiri hayo yapo ,wanapigana kwa Siri na hiari ya mtu,na usiombe ukamatwe,unaingizwa kwenye chumba kinaitwa selo,mateso yake hautarudi huo upuuzi

Sawa, amini unachoamini. Mimi ninaeleza uzoefu wangu wewe unaeleza masimulizi.
Na zaidi mleta mada kasema" watu wanaombana" hajasema "wanapeana".
 
Yale huwa wanaongea tu watu ambao hawajawahi kufika jela
 
Kwa mantiki hio hata mtaani watu wanafirana je wewe uliwai shiriki....so muelewe hoja anayozungumzia
😁😁eti uliwahi shiriki........ Blaza we ungeendeleza kama ulivyoanza hilo neno
 
Binafsi sijawahi kukaa jela, ila numeishi sana kwenye kambi za magereza.

Kiuhalisia, jela hakuna kubakana au kulazimisha lakini Kuna wafungwa wengi tu wanaotaka wanafirwa sana. Na Askari wanajua, mpaka huwa wakitoka unakuta Askari anasikitika tu.
Sasa we umeonaje na huingii ndani ya gereza?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Tatizo watu wanadhani wanayoona kwenye Movie za Kimarekani ndio maisha ya jela Tz navyo yalivyo.

Binafsi naweza kusema, mfungwa au mahabusu ndio raia wenye nidhamu kuliko raia wote maana wanalijua tifu la wavaa karanga kwa wakosa adabu😂😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…