Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Miaka yote tumwona na kusikia CHADEMA ikipiga kelele dhidi ya serikali kutumia polisi kwenye chaguzi mbalimbali za Taifa letu.
Fafanuzi mbalimbali kutoka kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA namna chaguzi za kitaifa zinavyovurugwa na jeshi hili lililojaa makamanda wasio na utu yaani wajaa laana dhidi ya wapizani na wapigakura wa nchi hii
Tumeona kupitia uchaguzi huu wa CHADEMA katika Baraza la Wanawake la BAWACHA, polisi wameitwa kufanya ukamataji dhidi ya wanaoonekana kushinikiza kufuatwa kwa taratibu halali.
Uvurugwaji wa chaguzi zozote nchini unachangiwa na mkono wa polisi kushiriki matendo haramu ya ubakaji wa demokrasia halali.
Nani aliwaita polisi pale Ubungo Plaza?
CCM tokea lini wanaipenda sana CHADEMA hadi kuwapatia msaada wa polisi?