Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Huyu hapa ni yule anajiita Steve Nyerere. Yuko business class.
Pia soma
Pia soma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio ukweli...Unasema wasanii hata viongozi wa serikali wanaenda nje kama kutalii ,kama ni project wanaoifuata unakuta washaanndaa ripot ndio wanaenda .
wakimaliza kikao kuna kuzunguka na kupiga picha ili mradi wakae mda mrefu kidogo .
Kodi zako hizo ndio zimewapeleka huko!
Sasa unapeleka watu wenye low IQ kama Steve Nyerere unategemea nini? Muone tu hapo kwenye clip ushamba anatamani aonje kila chakulaWabongo sisi ni kulalamika tu always nafikiri mmoja kati yetu angekuwa ni sehemu ya hiyo ziara bila shaka angekula buyu
Hili ndio tatzoSasa unapeleka watu wenye low IQ kama Steve Nyerere unategemea nini? Muone tu hapo kwenye clip ushamba anatamani aonje kila chakula
Siku zote ukiwa sehemu ya wanufaika huwezi kulalamika, walalamikaji wengi ni sisi ambao kweli keki ya taifa inatupitiq pembeni, lakini pia ni aibu sana kwa sababu sisi kama taifa tuna changamoto nyingi sana, matatizo mengi sana. Tukiona hivi hata nguvu ya kulipa kodi inakuwa ndogo.Wabongo sisi ni kulalamika tu always nafikiri mmoja kati yetu angekuwa ni sehemu ya hiyo ziara bila shaka angekula buyu
Binafsi sijaona shida iko wapi hapo maana hta walioenda ni sehemu ya walipa kodi pia na lengo ni zuri ila linapoteza maana sababu ya wakati na aina ya watu waliochaguliwa kwenda kwngu naona ndio tatzo kwani limekaa kisiasa zaidiSiku zote ukiwa sehemu ya wanufaika huwezi kulalamika, walalamikaji wengi ni sisi ambao kweli keki ya taifa inatupitiq pembeni, lakini pia ni aibu sana kwa sababu sisi kama taifa tuna changamoto nyingi sana, matatizo mengi sana. Tukiona hivi hata nguvu ya kulipa kodi inakuwa ndogo.
Kwanin kila msala mnataka vijana wakae frontline? Katiba tuliyonayo ni ya mwaka 77 vijana hawajazaliwa, sera mbovu na mifumo yote viliwekwa madogo bado hawajazaliwa wengine walikua watoto nyie mliokua watu wazima kipindi hicho kwanini hamkukinukisha? Mliogopa? Hamkujua kama mnaingizwa chaka? Kwanini mnataka vijana wajitoe muhanga frontline kwa uzembe/uoga wenu wa kushindwa kuzuia tatizo from the first place? Vijana, wakina baba, wakina mama na wazee wote twende frontline kuikomboa nchi yetuHahaha kwani hujui aliyewalipia nauli.
Tunahitaji vijana kama wale wa Kenya wanaoweza kuiambia serikali nini cha kufanya sasa baada ya kuchochwa na mambo ya hovyo yasiyo na tija.