mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Hawajaiba vitu hawa kweli? Ila Tanzania tuna matatizo ya uongozi, hawa wasanii wana umuhimu gani na nchi yetu, wana nini la maana walifanyalo hapa Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajaiba vitu hawa kweli? Ila Tanzania tuna matatizo ya uongozi, hawa wasanii wana umuhimu gani na nchi yetu, wana nini la maana walifanyalo hapa Tanzania?
Punguza shobo
Upuuzi mtupu. Samia anajiangusha sana kwa kudhani kuwa wasanii watamfanyia kampeniHawajaiba vitu hawa kweli? Ila Tanzania tuna matatizo ya uongozi, hawa wasanii wana umuhimu gani na nchi yetu, wana nini la maana walifanyalo hapa Tanzania?
Anashika shika na kutikisa tikisa tu anafikiri vibiriti vya kasuku hivyo 🤣🤣Sasa unapeleka watu wenye low IQ kama Steve Nyerere unategemea nini? Muone tu hapo kwenye clip ushamba anatamani aonje kila chakula
Kwangu mimi Magufuli ataendelea kuwa Rais bora zaidi barani Africa.Hata kama Samia anasafiri sana ni bora kuliko Magufuli ambaye alizuia shughuki za siasa, uhuru wa maoni na akawa anaua wakosoaji.
Tumsahihishe tu Rais Samia kwenye matumizi ya fedha lakini hatuwezi kumfananisha na DHALIMU muuaji
Nani anamlipa Azizi Ki mshahara wa milioni 90 kwa siri hadi amekubali kubaki Tanzania?
Acheni ujinga! Kwenye ndege first class hakuna Meza ya mzunguko na wqla hakunaga Meza na TV kubwa hata ikiwa ndege Boeing.
Acheni ujinga! Kwenye ndege first class hakuna Meza ya mzunguko na wqla hakunaga Meza na TV kubwa hata ikiwa ndege Boeing.
Hapo yuko klabu za mjini !!
Nchi ipo mikononi mwa HARAMIA NA RAIA FEKI
Huyo unayemuona bora ndiye aliyeleta uchawa wa kijinga nchini na mambo ya kutishana na aliyemfuatia anaendeleza yale yale. Ni katika awamu ya jiwe kila anayejiita msanii akaamua kufanya siasa na hangaya anayaendeleza yale yale. Kwa ufupi ccm imeshapoteza ushawishi ndio maana wanahangaika kutafuta boost.Kwangu mimi Magufuli ataendelea kuwa Rais bora zaidi barani Africa.
Rais ambaye kidogo anamkaribia Magufuli kwa ubora na Paul Kagame wa Rwanda ,hao wengine ni walamba asali tu.
Ukipata hela na wewe jaribu kusafiri kwa ndege ndiyo utaelewa. Boeing 787 yenye ghorofa na inayobeba hadi abiria 330 ina bar ndani. Flight za Emirates ktoka DBX kwenda Hong-Kong, Seoul, Beijing, Kuala Lumpur na majiji mengine makubwa hutumia sana ndege hizi.Acheni ujinga! Kwenye ndege first class hakuna Meza ya mzunguko na wqla hakunaga Meza na TV kubwa hata ikiwa ndege Boeing.
Hapo yuko klabu za mjini !!