Nani aliwalipia Wasanii gharama za ziara ya Korea?

Nani aliwalipia Wasanii gharama za ziara ya Korea?

hata huko walikokwenda wasingeweza kufanya chochote.

Wahudumu wanamuuliza maswali ya kum assess kama anapaswa kuendelea kunywa au anaenda spidi... mchizi hajibu, ana cheka cheka tu..... sasa akipata dili la comedy Korea sijui ata perform kwa lugha gani
 
Ukipata hela na wewe jaribu kusafiri kwa ndege ndiyo utaelewa. Boeing 787 yenye ghorofa na inayobeba hadi abiria 330 ina bar ndani. Flight za Emirates ktoka DBX kwenda Hong-Kong, Seoul, Beijing, Kuala Lumpur na majiji mengine makubwa hutumia sana ndege hizi.

View attachment 3040846

Yawezekana umepanda ndege ila umeishia Mwanza au KIA kwa Airbus A220. Tembea uone, wacha ubishi
Boeing 787 haina ghorofa, zenye ghorofa ni Boeing 747 na Airbus A380 tu
 
Wema hataki tena kuonekana kwenye visherehe vya kijinga ukihitaji kufanya nae kazi makutano ya maongezi yenu ni ngoro au serengeti,

una kichwa kizito lakini na wewe
Tulikua wengi tu hatukuelewa 😁😁😁
 
Kwangu mimi Magufuli ataendelea kuwa Rais bora zaidi barani Africa.
Rais ambaye kidogo anamkaribia Magufuli kwa ubora na Paul Kagame wa Rwanda ,hao wengine ni walamba asali tu.
Ubora wa Magufuli utoke wapi? Bado mupo BRAINWASHED na uwongo aliowapandikiza marehemu? Nyie sasa ni full MISUKULE
 
Wanalipwa fadhila, walipambana sana kuwaweka madarakani. Sasa hivi ni pay back time, ukizingatia watatumika tena soon next year.
 
Upuuzi mtupu. Samia anajiangusha sana kwa kudhani kuwa wasanii watamfanyia kampeni
This is beyond stupidity kwa kweli, hivi hata hao Wakorea wanatuonaje sisi Watanzania kwa ujinga huu? Jamani kwa kweli hapa Mama kachemsha maharage ya jana na yameungua, just look at those wasanii, they are all useless😱
 
Back
Top Bottom