Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Lengo la Yanga media day ilikuwa ni kuonyesha watu wakiogelea?. mbona unaandika vitu kam sio Forto
Wamatopeni mbona unateseka wakati mambo makubwa bado.
Vyura wameenda kuogelea kigamboni,hiyo ndo maana halisi ya vyura
Mambo gani makubwa hayo?
Sasa vyura unataka wafanye nini zaidi ya kuogelea ?
Yanga wanalazimisha furaha sana
Jadili hoja iliyoko mezani.Waiten Wana habar wapeleken porini Bunju
Yaani uongozi wa Yanga kuna muda unajiuliza kama zinawatosha kichwani au laaah
Waliposema Yanga media day nilidhani kuna Press wanafanya na wanahabari ,cha kushangaza wameenda kuonyesha tu kambi , kuwavalisha jezi wachezaji wao wa kike na kuogelea...
SawaVyura wameenda kuogelea kigamboni,maji yamekauka jangwani,hiyo ndo maana halisi ya vyura
Poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mwananchi
Wewe zinakutosha? Kumbe Nyani haoni Kundule kabisa, we mwenyewe zilizoko kichwani hata kisoda hakijai alafu unawabeza wenzio, utelembwe bwana sijui kwa nini uteseke na mambo yasiyokuhusu .
Kumbe mikia mlikmkua mnafatilia leo?kweli hii timu ya wananchiYanga ni kitimu Cha ovyo ovyo kuwahi kutokea katika sayari hii
Basi mwenye cv kali ni ile chombo ya mkudeHalafu kuna watu humu wanasema Senzo ana cv kwa ushauli huo ndio mnasema Senzo ni kichwa
Na hawa je?Yanga wanalazimisha furaha sana