Nani aliwashauri Yanga kufanya Wananchi Media Day?

Nani aliwashauri Yanga kufanya Wananchi Media Day?

Waliposema Yanga media day nilidhani kuna Press wanafanya na wanahabari ,cha kushangaza wameenda kuonyesha tu kambi , kuwavalisha jezi wachezaji wao wa kike na kuogelea.

Yanga waache kushindana na Simba ,nia yao ilikuwa tu kuonyesha kwamba wana maisha mazuri na wachezaji wanaenjoy kama hela hamna mwishowe itaonekana tu.

Kwenye calendar wamefeli leo wamefeli pia ,ni aibu unaita waandishi wa habari halafu huna press wala agenda ya maana kiasi flani hata wanashindwa na Manara akiita Press achilia mbali Simba.
 
Wewe zinakutosha? Kumbe Nyani haoni Kundule kabisa, we mwenyewe zilizoko kichwani hata kisoda hakijai alafu unawabeza wenzio, utelembwe bwana sijui kwa nini uteseke na mambo yasiyokuhusu .
Yaani uongozi wa Yanga kuna muda unajiuliza kama zinawatosha kichwani au laaah
 
Kinacgokutesa nini utelembwe? Kojoa lala, wakubwa huwawezi na uwezi kuwaelewa maana umekalia majungu na umbeya tu kwa mambo ambayo siyo size yako, utavalishwa kanga tulia na usutwe, shauri yako
Waliposema Yanga media day nilidhani kuna Press wanafanya na wanahabari ,cha kushangaza wameenda kuonyesha tu kambi , kuwavalisha jezi wachezaji wao wa kike na kuogelea...
 
Wewe zinakutosha? Kumbe Nyani haoni Kundule kabisa, we mwenyewe zilizoko kichwani hata kisoda hakijai alafu unawabeza wenzio, utelembwe bwana sijui kwa nini uteseke na mambo yasiyokuhusu .

Kunywa maji kwanza ushushe presha na jazba[emoji3]
 
Yanga wanalazimisha furaha sana
Na hawa je?
922676eb85854e96ec13947c608bb004.jpg
 
Back
Top Bottom