Kitu walichofanya Utopolo ni sawa tu wanachofanya simba sc. Isipokua utofauti wake ni kwenye ueledi wa jambo. Toka mwaka juzi simba Wanafanya media tour ambapo wachezaji wanatembelea media mbalimbali, kwanza ili kuimarisha ushirikiano na media. Pili inawaandaa Wachezaji pia kufahamu jinsi gani vipindi mbalimbali vinavyoandaliwa na kuendeshwa.
Utopolo wao wakawaita waandishi wa habari kwenda kwenye kambi yao wanayoishi, Imeogeza ushirikiano kwa sababu moja tu, kwa vile waandishi wengi ni njaa tupo hivyo kwa chakula walichoandaliwa kitawafanya wakumbuke.
Ila kiueledi haijawasaidia kitu chochote Wachezaji wa Yanga kwenye hii issue ya media day. Hamna kitu walichojifunza kuhusu media, zaidi ya wao kuangaliwa wakiwa wanaoga na kufanya mazoezi.
Mwisho, Asante Utopolo kwa kua mabalozi wazuri wa hotel yetu