Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata chawa wenu Kitenge hamumuamini tenaLete taarifa rasmi kutoka fifa sio hizo za kuedit ambazo mi naweza
Jamaa ametisha,amepiga pale pale kwenye mshonoUliyeweka hii clip sauti Mungu anakuona.
View attachment 1692883
Sawa, nimeshathibitishaHata chawa wenu Kitenge hamumuamini tena
Walikufanya nini majuzi Unguja?Haya Magalasa Yamepoteza Dira
Ila simba inakiogopa sijui kwa nini?Yanga ni kitimu Cha ovyo ovyo kuwahi kutokea katika sayari hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kuzingua watu wenye akili zetu weweMshamba mmoja wewe usiejua mazoezi ya kuogelea pia yanasaidia kwenye pumzi na Stamina kidogo [emoji23]
Na kwa taarifa yako lengo la Mwananchi media day sio hilo, ni lingine hicho ni kionjo tu
Sawa Utelembwe fc[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kuzingua watu wenye akili zetu wewe
Kwani Simba Mmefika Wapi? [emoji23][emoji23]Watafika waliko Simba tusiwabeze
Raha sana kusoma comments za Utelembwe a.k.a Manguruwe.
Mzungu wenu wa Nguruka anasemaje kuhusu Wananchi Media Day?Uto katika ubora wake
Wananchi Media Day ni total failure, habari zake zilikua shadowed na mechi ya Azam na MazembeMzungu wenu wa Nguruka anasemaje kuhusu Wananchi Media Day?
Kwamba nani wa kwanza kuifanya Tanzania?
Wananchi ambao ni humble hawana habari!
Group stage of CAF championshipKwani Simba Mmefika Wapi? [emoji23][emoji23]