Nani aliwashauri Yanga kufanya Wananchi Media Day?

Wananchi Media Day ni total failure, habari zake zilikua shadowed na mechi ya Azam na Mazembe
Never on earth. Azam watapata coverage baada kuwatungua Manguruwe mechi ya kiporo
 
Kuna hili la War in Dar... cjajua watakuja na nn
 
Tena jambo lenyewe limekuja ghalfa,kwanini wasingesema wakati ligi iliposimama
 
Na wewe nguruwe unateseka ukiwa bucha ipi?
Inaumiza sana ushindi wa simba unapopatikana kutoka kwa Bernard Morrison . Inaumiza sana sisi Mbwa Fc. CAS ina maana hawaoni mateso yetu?😑😑😑😑😑😑😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Tatizo simba mnajiona mmesha Maliza kila kitu kwenye mfumo na hata uchezaj kitu ambacho sio kwel kwa sababu simba na Yanga utofaut wake sasaiv ni mdogo Sana na huenda kuanzia jpil tukapata majibu
 
Kufikia kuwa wadaawa?
naumiza sana ushindi wa simba unapopatikana kutoka kwa Bernard Morrison . Inaumiza sana sisi Mbwa Fc. CAS ina maana hawaoni mateso yetu?😑😑😑😑😑😑😭😭😭😭😭😭😭😭
 
naumiza sana ushindi wa simba unapopatikana kutoka kwa Bernard Morrison . Inaumiza sana sisi Mbwa Fc. CAS ina maana hawaoni mateso yetu?😑😑😑😑😑😑😭😭😭😭😭😭😭😭
Wadaawa wakilewa dawa wanakuwa nguruwe squared
 
Wadaawa wakilewa dawa wanakuwa nguruwe squared
Inaumiza sana ushindi wa simba unapopatikana kutoka kwa Bernard Morrison . Inaumiza sana sisi Mbwa Fc,Manyani Fc, Utopolo. CAS ina maana hawaoni mateso yetu?😑😑😑😑😑😑😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…