nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Watafika mwaka 2100Watafika waliko Simba tusiwabeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafika mwaka 2100Watafika waliko Simba tusiwabeze
Haiitajiki akili ya darasani Mkuu kuelewa kuwa simba imepiga hatua hata kama ni kwa kiasi kidogo.Kwani Simba Mmefika Wapi? [emoji23][emoji23]
Never on earth. Azam watapata coverage baada kuwatungua Manguruwe mechi ya kiporoWananchi Media Day ni total failure, habari zake zilikua shadowed na mechi ya Azam na Mazembe
Uto mna hasira sana tulieniNever on earth. Azam watapata coverage baada kuwatungua Manguruwe mechi ya kiporo
Unateseka ukiwa wapi Nyani,Mbwa Fc aka Utopolo? Unateseka ukiwa wapi katika inchi hii?Never on earth. Azam watapata coverage baada kuwatungua Manguruwe mechi ya kiporo
Kuna hili la War in Dar... cjajua watakuja na nnYanga ni wazee wa copy na paste.
-- simba ilimchukuwa mchezaji wao miaka ya 90 omar Hussein kelvin Keegan.
Nao wakamchukuwa zamoyoni mogella..wachezaji wa kwanza kuvunja mwiko yanga kwenda simba na wa simba kwenda yanga..
-- simba ndy timu ya kwanza kuvaa jezi na viatu nchini,,
Nao wakaokoteza matambaa wakaanza kuvaa jezi..na viatu tena safari buti..
-- simba ilijenga jengo la makao makuu pale msimbazi.
Na wao wakawalamba miguu viongozi wa wakati huo wakapewa hilo jengo kwa msaada wa Mke wa Abed Karume.
-- simba ilinunuwa uwanja bunju.
Na wao wakalialia wakapewa eneo kigamboni na serikali.
-- simba ilianzisha simba day.
Wao wakaja na wanainchi day.
-- simba ilianzisha Simba tv .
Na wao wakaja na yanga tv..
-- simba ilianzisha msemaji wa timu manara.
Na wao wakaja na muro.
-- simba ikileta kocha mgeni .
Na wao wanaleta mgeni.,
--- simba ikifukuza kocha na hao hawakawii kufukuza..
-- simba imekuja na CEO wa timu.
wao wakaaenda mbali zaidi,,wakaamua kusajili kabisa CEO senzo..
--simba wamekuja na simba cup .
Wao wamekuja na yanga media day..
Nawakumbusha tu kwamba media day ni mambo ya habari na sio mashindano wala kuonyesha mazoezi ya timu,,
Pengine wangebadilisha hyo media day na kuiita yanga show off day.
Ingependeza zaidi..
Na wewe nguruwe unateseka ukiwa bucha ipi?Unateseka ukiwa wapi Nyani,Mbwa Fc aka Utopolo? Unateseka ukiwa wapi katika inchi hii?
Tena jambo lenyewe limekuja ghalfa,kwanini wasingesema wakati ligi iliposimamaWaliposema Yanga media day nilidhani kuna Press wanafanya na wanahabari ,cha kushangaza wameenda kuonyesha tu kambi , kuwavalisha jezi wachezaji wao wa kike na kuogelea.
Yanga waache kushindana na Simba ,nia yao ilikuwa tu kuonyesha kwamba wana maisha mazuri na wachezaji wanaenjoy kama hela hamna mwishowe itaonekana tu.
Kwenye calendar wamefeli leo wamefeli pia ,ni aibu unaita waandishi wa habari halafu huna press wala agenda ya maana kiasi flani hata wanashindwa na Manara akiita Press achilia mbali Simba.
Pengine watakuja na zombie in dar,Kuna hili la War in Dar... cjajua watakuja na nn
Wala jina halinogi maana team inafahamika moja kwa moja ni SIMBA hilo huwezi change Mbwa wewe (Luc Eymael) 😂😂😂😂😂😂Na wewe nguruwe unateseka ukiwa bucha ipi?
Unateseka ukiwa wapi Nyani,Mbwa Fc aka Utopolo? Unateseka ukiwa wapi katika inchi hii?Na wewe nguruwe unateseka ukiwa bucha ipi?
Inaumiza sana ushindi wa simba unapopatikana kutoka kwa Bernard Morrison . Inaumiza sana sisi Mbwa Fc. CAS ina maana hawaoni mateso yetu?😡😡😡😡😡😡😭😭😭😭😭😭😭😭Na wewe nguruwe unateseka ukiwa bucha ipi?
Kufikia kuwa wadaawa?Watafika waliko Simba tusiwabeze
naumiza sana ushindi wa simba unapopatikana kutoka kwa Bernard Morrison . Inaumiza sana sisi Mbwa Fc. CAS ina maana hawaoni mateso yetu?😡😡😡😡😡😡😭😭😭😭😭😭😭😭Kufikia kuwa wadaawa?
Wadaawa wakilewa dawa wanakuwa nguruwe squarednaumiza sana ushindi wa simba unapopatikana kutoka kwa Bernard Morrison . Inaumiza sana sisi Mbwa Fc. CAS ina maana hawaoni mateso yetu?😡😡😡😡😡😡😭😭😭😭😭😭😭😭
Inaumiza sana ushindi wa simba unapopatikana kutoka kwa Bernard Morrison . Inaumiza sana sisi Mbwa Fc,Manyani Fc, Utopolo. CAS ina maana hawaoni mateso yetu?😡😡😡😡😡😡😭😭😭😭😭😭😭😭Wadaawa wakilewa dawa wanakuwa nguruwe squared
.Wadaawa wakilewa dawa wanakuwa nguruwe squared
Tuongeze dozi ya dawa kwa wadaawa au imetosha?