Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mama kadili kake ka bandari kamebuma mapemaMama samia suluhu hasani nimsafi kabsa
Huyo Mgaya ana usafi gani wakati aliiba Mahindra ya CCM mpaka leo anayo inabebea mkaa!!??Komredi Polepole na Mzee Mgaya
CCM ni kama wauza mkaa ..... Utawasikia karibu MKAA SAFI .... Wapi umeshaona mkaa safi.Mama samia suluhu hasani nimsafi kabsa
Hana usafi wowote, ni sehemu ya dhuluma na ubakaji wa demokrasia uliofanyika 2020.Kwa kauli yake mwenyewe , akiwa Tanga kwenye kampeni alisema "Hata mkiwapigia kura upande ule mwingine , ccm ndiyo inaenda kuunda serikali"Mama samia suluhu hasani nimsafi kabsa
Vya madhabahuni huliwa na wachungaji Bwashee 😄Huyo Mgaya ana usafi gani wakati aliiba Mahindra ya CCM mpaka leo anayo inabebea mkaa!!??
"Askari wa CCM wana shabaha..." Maskini Lissu!!!Hana usafi wowote, ni sehemu ya dhuluma na ubakaji wa demokrasia uliofanyika 2020.Kwa kauli yake mwenyewe , akiwa Tanga kwenye kampeni alisema "Hata mkiwapigia kura upande ule mwingine , ccm ndiyo inaenda kuunda serikali"
Lakini ulevi unakatazwa madhabahuni...Vya madhabahuni huliwa na wachungaji Bwashee 😄
Sasa mbona huwa Wanainua mioyo?Lakini ulevi unakatazwa madhabahuni...
Wanainua mioyo Kwa bwana...Sasa mbona huwa Wanainua mioyo?
Bandari haijabuma.Mama kadili kake ka bandari kamebuma mapema
Salaam ndugu, Ndani ya CCM wapo wasafi pengine kuliko unavyofikri, wenye tabia za uzandiki, ufisadi, umalaya na wizi ni matokeo ya malezi na makuzi yao, Mifumo na itikadi za CCM hazizalishi product ya "wanyanganyi na manyangau wa kuhujumu taifa hili" Taifa hili tunalo ombwe la uaminifu katika taasisi nyingi za kijamii na kidini, wezi na mafisadi wapo hadi makanisani na misikitini, mabadiliko ya wema na usafi yawe sehemu ya malezi tangu ngazi ya familia ili kupata kizazi kitakacho simama kama viongozi wenye utumishi wa umma wenye kutanguliza maslahi ya taifa na si matumbo yao na Koo zao.Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??
Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??
Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??
Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??
Nani aliye msafi ndani ya CCM???
wote majizi mkuuNani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??
Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??
Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??
Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??
Nani aliye msafi ndani ya CCM???