Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kusema ukweli napenda na natamani Madame aache Legacy kama ya Queen Elizabeth au Magreth Thatcher na Kina Condoleza Rice na kadhalikawe ndio unachukua postgraduate ya mihemko na ghadhabu eeh gentleman?🐒
Teacher alifaulu kuanzia chekechekea mpk masters, maza alikula miswaki F4 kafika hapo kwa kujuana na rushwaWritten speech haikuwa na shida bila shaka liandaliwa vizuri. Tatizo linakuja muhusilka anapoamua yeye kutoka nje ya mada zilizoandikwa. Ni nyerere peke yake aliye kuwa na uwezo wa kuhutubia pasipo kuwa na karatasi. Ukijaribu kumuiga matokeo yake nidyo kwenda offrail na kutamka wakati mwingine yasiokuwa na staha.
Ni aibu kubwa kwa taifa kuwa na kiongozi wa aina hiiHiyo speech imeandaliwa na akaipitia kabla ya kupitia Kwa hadhira.Huo ndio uwezo wake ulipoishia
Katuaibisha sana watanzaniaNi aibu kubwa kwa taifa kuwa na kiongozi wa aina hii
Sababu ya katiba mbovu na ya hovyoKatuaibisha sana watanzania
Sisi wengine ni La tatu B hata sijui protocol zilivyo ndio maana nauliza tu au kuuliza ni ungumbaru ndugu yangu?Kwahy kosa sio lake bali n kosa la aliyeandaa speech?
Kwamba yeye haisomi kabla ila hua anaisoma muda ule ule akiwa anaisoma pale live?
Haihitaji kuwa na elimu ya darasani kujua hili, kwamba mtu akitumwa kukuibia ina mana kuwa huyo hajafanya kosa bali kosa lipo kwa huyo aliyemtuma?Sisi wengine ni La tatu B hata sijui protocol zilivyo ndio maana nauliza tu au kuuliza ni ungumbaru ndugu yangu?
😁😁
Kwa Sasa ni 15,000 per day mkuuSeriously aaah naanza kuamini ya kwamba pale corridor za Lumumba dau limeongezeka kutoka
Buku Saba mpaka buku tisa jero!
😂😂
Lucas au?Ni wale chawa wake
Enyi Mafarisayo Wanafiki!Haihitaji kuwa na elimu ya darasani kujua hili, kwamba mtu akitumwa kukuibia ina mana kuwa huyo hajafanya kosa bali kosa lipo kwa huyo aliyemtuma?
Sio mimi.Enyi Mafarisayo Wanafiki!
(In deacon translater voices)
😁😁
Duu hela nyingi hiyoKwa Sasa ni 15,000 per day mkuu
Wewe unakomaa Bure Bure? 😁😁Duu hela nyingi hiyo
Kwa kila siku daaaa
Ndio maana hua mnakomaa humu mpaka kivumbi ndio maana hua nahisi kuna namna
So mama anaumwaga mwingi au Sio!
😁😁
Hapana huyu ni PS ni mtu mdogo snLucas au?
Ile hotuba ina harufu yote ya Prof. wa Jalalani.Tukiacha Uchawa na kujipendekeza kama Kahaba aliyeona mkoba wa Dhahabu za Babylon kwenye chumba cha siri kwa kuhani wa mungu Murduk ndani ya hekalu la Enki.
Ile hotuba Madame kaharibu kabisaaaa badala ya kujenga anabomoa mpaka vumbi litimke,
Haiwezekani aisee jana naangalia nusu kidogo nirushe tonge la ugali kwenye Screen maana niliona kama mauza uza hivi.
Nikajiuliza kama watu ambao tunadhani Wana akili timamu na tumewapa dhamana kwa kuwaamini Wana akili zote ndio wanaandaa utumbo kama ule vipi mwenyekiti wangu wa mtaa huko Namtumbo ngumbaru aliyepita bila kupingwa si ndio atatoa maagizo ya mtu kutolewa bandama?
Ifike mahali kama nchi tujitafakari hawa tunaowapa dhamana Wana akili timamu kweli au ni vichaa waliochangamka!
anyway yawezekana Madame President alipitiwa maana kama binadamu tunakosea ila kama alikusudia akiwa na maana ya kupanic kutokana na yanayoendelea hapo inaonekana wazi Wapinzani wake wa kisiasa wamemuingiza kwenye 18 zao na kajaa bila kujua kawapa point 3 za bure na ligi ndio imepamba moto,
naombeni sana kama mnanisikia mtu mzima hua hakosei ndio siasa za Afrika zilivyo ila angalau mrekebishe mambo madogo madogo ambayo yanasababisha matatizo makubwa yatokee,
Haiwezekani useme kabisa 'zile Sheria za kipindi kile bado zipo na zinafanya kazi'
wakati hao hao ukiingia nao field kwa mahakama wanakugaragaza mchana kweupe mpaka mnapanic na kuwapiga Risasi mchana wa jua kali!
Najua mkitumia nguvu ndio mtawaweza ila kama Sheria hizi hizi za mkoloni thubutu watawaaibisha mchana kweupe,
Note: When a Wise man Rise, Wisdom taking place
Angalieni panapovuja msije sema hatukusema...
CCM wanatupeleka pabaya sana.Tukiacha Uchawa na kujipendekeza kama Kahaba aliyeona mkoba wa Dhahabu za Babylon kwenye chumba cha siri kwa kuhani wa mungu Murduk ndani ya hekalu la Enki.