Nani aliyemdanganya Msanii Ben Pol kuwa Yeye ni King of R&B kwa Tanzania?

Nani aliyemdanganya Msanii Ben Pol kuwa Yeye ni King of R&B kwa Tanzania?

Wa Tanzania tuko na kasumba ya kutukuza vilivyopita na kudharau vilivyopo.
Hebu mwenye list ya nyimbo kali 5 za rama dee atuwekee tufanye comparison na 5 kali za ben
 
Umeanza Kujua, Kuulewa na Kuufuatilia mziki lini Mkuu? Mtu yoyote anayesema Ben Paul ni Mfalme wa R&B nadhani anatakiwa awahishwe upesi sana Wodini pale Mirembe Hospital Mkoani Dodoma kwa matibabu ya haraka.
tutajie mfalme unayemuona wewe kuwa anastahili ufalme wa RnB hapa udafunini
 
Ndio,... Kwa Tz Ben pol ndo mfalme wa rnb....hao kina rama dee nshasikiliza ngoma zake almost zoote ukiachana na sauti hana kingine cha kumzidi ben pol
Hata wakina steve rnb wanasubiri sana kwa benpol
 
ana ngoma inaitwa Sara..kuna nyingine yaitwa hola (vikao vya family)...achilia mbali kipndacho roho ...Jamaa nihatari sana..sema Ben Paul sio mtu wakubezwa pia anajua mnoo
Kweli mkuu.
 
Wa Tanzania tuko na kasumba ya kutukuza vilivyopita na kudharau vilivyopo.
Hebu mwenye list ya nyimbo kali 5 za rama dee atuwekee tufanye comparison na 5 kali za ben
Naomba katafute album yake
 
Nasema tena kama Steve RNB angekuwa kwenye mainstream kama hao wasanii wengine angekuwa sio tu King Of RnB Bali Chief Of RnB
 
King wa R&B ni Rama Dee
Akifuatiwa na made ice

Hao wengne ni wajinga,tu kama mleta mada
 
Back
Top Bottom