Nani aliyemdanganya Msanii Ben Pol kuwa Yeye ni King of R&B kwa Tanzania?

Nani aliyemdanganya Msanii Ben Pol kuwa Yeye ni King of R&B kwa Tanzania?

Ben kwanza halafu wengine ndo wanafuata, japo kuna time huwa anaswitch na kuimba zouk, lakini katika RnB pia yuko juu, na anachonifanya nimkubali zaidi haimbi mapenzi tu ka wengine ambao wanadhani RnB ni kuimba mapenzi tu
 
Na akina q chief , Steve Rnb utawaweka wapi??? Huyo jamaa bado sana
 
Rama dee is the best.. Utaambiwa ft mapacha is my fave.. Ana nyimbo nyingine kama Protocol pia kwa Akili yangu
 
Kila mtu ni mfalme wa kile anachoamini anakifanya.

sioni tatizo la Ben Pol kujiita mfame wa RnB.
 
Back
Top Bottom