U Uchunjuba Punjubi JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 799 Reaction score 622 Feb 24, 2018 #41 Ben kwanza halafu wengine ndo wanafuata, japo kuna time huwa anaswitch na kuimba zouk, lakini katika RnB pia yuko juu, na anachonifanya nimkubali zaidi haimbi mapenzi tu ka wengine ambao wanadhani RnB ni kuimba mapenzi tu
Ben kwanza halafu wengine ndo wanafuata, japo kuna time huwa anaswitch na kuimba zouk, lakini katika RnB pia yuko juu, na anachonifanya nimkubali zaidi haimbi mapenzi tu ka wengine ambao wanadhani RnB ni kuimba mapenzi tu
Songa Heri JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 1,724 Reaction score 1,873 Feb 24, 2018 #42 Na akina q chief , Steve Rnb utawaweka wapi??? Huyo jamaa bado sana
Songa Heri JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 1,724 Reaction score 1,873 Feb 24, 2018 #43 Na mwngne niliyemsahau ni Rama Dee
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Feb 24, 2018 #44 othiambo said: Kweli mkuu Rama Dee anaweza...Mi naikuikubali nyimbo yake ya "SIWAOAJI HAO''. Click to expand... Ni kweli, yuko vizuri, Nyimbo zake zinasikilizika sana. Hebu msikie hapa
othiambo said: Kweli mkuu Rama Dee anaweza...Mi naikuikubali nyimbo yake ya "SIWAOAJI HAO''. Click to expand... Ni kweli, yuko vizuri, Nyimbo zake zinasikilizika sana. Hebu msikie hapa
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Feb 24, 2018 #45 Yes I agree, he is THE KING
Akilidebe JF-Expert Member Joined Feb 18, 2018 Posts 204 Reaction score 124 Feb 24, 2018 #46 Kama sio yeye ni nani
Kitandu Nkoru JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 885 Reaction score 973 Feb 24, 2018 #47 Let say Ben Pol is good but Rama Dee is the Best and the king of RnB in this country full stop
255Gene JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 888 Reaction score 1,090 Feb 24, 2018 #48 Rama dee is the best.. Utaambiwa ft mapacha is my fave.. Ana nyimbo nyingine kama Protocol pia kwa Akili yangu
Rama dee is the best.. Utaambiwa ft mapacha is my fave.. Ana nyimbo nyingine kama Protocol pia kwa Akili yangu
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Feb 24, 2018 #49 Kila mtu ni mfalme wa kile anachoamini anakifanya. sioni tatizo la Ben Pol kujiita mfame wa RnB.