Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

Hadi sasa wenye mimba ni wawili, Idris anasema yake Luis munana anasema yake
 
Inakera kuona furaha Na kutangaza umjamzito uliopatikana Kwa zinaa....
 
Hi mada ni ya kwenye facebook, imekuja humu kimakosa. Mambo yale yale ya kuzungumza maisha ya watu. Upuuzi ule ule unaowacheleweshea maendeleo ya kweli watanzania wote.
 
Tusubiri Mtoto azaliwe wakacheki DNA.
 
Bado mnabishana tu ? Mimi mtoto wa kishua ndo nimempa mimba Wema subirini ajifungue mtaona jinsi alivyofanana na Bitoz
 
The so called Baba Kijacho aombe huruma ya Mungu asije kuwa anatunza Mimba ya Dr Mwaka mwingine
 
Wema, Zari wote sawa tu umalaya mwingi mwisho wa siku wanakabana DNA na atakayebambikiwa
 
wema hana kizazi! mda sana ashajiaribu mwenyewe but labda dr mwaka kafanya yake
 
wakuu, suala la mtoto wa nani tumuachie Wema mwenyewe. Kati yenu kuna aliyecheck DNA kujua kama huyo anayemuita baba ni baba ake halisi? Hata wanandoa wengi wanalea watoto sio wao. Na labda kuna baadhi humu watoto wao wanalelewa na baba wengine. Kama kweli Wema ni mjamzito Mungu amsaidie apate mtoto salama. kila mwenye mtoto anajua raha ya kuwa na mtoto hasa kina mama. Hongera zake Wema na kila la heri.
 
Huyo ndo Mwenye mzigo
BUnduki ya mpira hii,na kama kweli mimba ya wema sio matambara ni miongoni mwa binaadamu watakaopata taabu sana.maana kila mtu atamwangalia yeye.na vita ya dna itaanza upyaaa.wakati utatujibia
 
Dah,jamaa angu aliniambia Wema ana miavuli yake,we unakuja na hela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…