Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hadi sasa wenye mimba ni wawili, Idris anasema yake Luis munana anasema yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema, Zari wote sawa tu umalaya mwingi mwisho wa siku wanakabana DNA na atakayebambikiwaWakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika mimba Wema yameendelea kuzunguka.
According to anayesemekana ni baba kijacho, amesema wanategemea Wema ajifungue baada ya miezi sita au saba, ambapo kwa maana hiyo Muda huu ana mimba ya miezi mitatu.
Mimba ya miezi mitatu ni mimba iliyoingia mwezi wa kumi na moja (November) ama mwezi wa kumi (October) , ambapo wakati huo Wema Sepetu alikua katika mapenzi na x boyfriend wake Luis Munana.....
Kama alipata mimba mwezi huu Kuna uwezekano ni ya Luis
Maswali yanayogonga kwa watu ni;
1. Je, wakati Wema yupo na Luis alikua anagongwa na Idris??
2. Kama sio, Ina maana aliyempachika mimba ni Luis?
3. Ni nani aliyempachika mimba Wema Sepetu?
![]()
View attachment 319769
![]()
Hilo neno simba halipendi ukilitaja hata kama anaota anakurupuka.chezea dnaDNA na yy skuizi simsikii sana sijua kaacha muziki..!?
BUnduki ya mpira hii,na kama kweli mimba ya wema sio matambara ni miongoni mwa binaadamu watakaopata taabu sana.maana kila mtu atamwangalia yeye.na vita ya dna itaanza upyaaa.wakati utatujibiaHuyo ndo Mwenye mzigo
idris atatoa middle name luis atatoa sirname haina shida lolHadi sasa wenye mimba ni wawili, Idris anasema yake Luis munana anasema yake