Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

sio kweli mumie,
mwanamke yyte yule endapo alikuwa anpenda kuzaa halafu hakubahatika kuzaa kwa wakati huwa anaumia sana na anapokuja kupata nafasi hiyo hujiskia furaha sana.
hata ukisoma novels utayakuta hayo
Mwl@gfsonwin.... missing you..
 
Mwenye mimba huyu hapa....

timthumb.php
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sikuwai kudhan wana jf ni vichwa box kias hiki mmesahau kua wema akiri hawez kupata mtoto tena kizazi kina shida mmenisikitisha sana yaani saaaaaaaaaana
 
tupo wawili, wewe na mimi tu! sijui wewe, ila mimi kilichoniponza ni sababu ile alosema Mzee Ben 'ulofa'
Tupo watatu aisee. Mimi kwa sababu sipendi maigizo kwenye maisha halisi.
 
sikuwai kudhan wana jf ni vichwa box kias hiki mmesahau kua wema akiri hawez kupata mtoto tena kizazi kina shida mmenisikitisha sana yaani saaaaaaaaaana
Wema hajawahi kuwa na matatizo ya uzazi.Alitaka mumuongelee
 
Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika mimba Wema yameendelea kuzunguka.

According to anayesemekana ni baba kijacho, amesema wanategemea Wema ajifungue baada ya miezi sita au saba, ambapo kwa maana hiyo Muda huu ana mimba ya miezi mitatu.

Mimba ya miezi mitatu ni mimba iliyoingia mwezi wa kumi na moja (November) ama mwezi wa kumi (October) , ambapo wakati huo Wema Sepetu alikua katika mapenzi na x boyfriend wake Luis Munana.....
Kama alipata mimba mwezi huu Kuna uwezekano ni ya Luis

Maswali yanayogonga kwa watu ni;

1. Je, wakati Wema yupo na Luis alikua anagongwa na Idris??
2. Kama sio, Ina maana aliyempachika mimba ni Luis?
3. Ni nani aliyempachika mimba Wema Sepetu?
e73005269550b1515881760461463f9d.jpg

View attachment 319769
93119f699cf74c534b219dcefd3d30a3.jpg

Huyo ndo Mwenye mzigo
 
Attachments

  • 1454140323234.jpg
    1454140323234.jpg
    22.5 KB · Views: 81
hivi jamani watz wenzangu hizi convsrsation zetu,thread na kila kiandikwacho huku ni archives kwa kizazi chetu kijacho..najiuliza kama ni kweli akizaa mtoto hlf huyo mtoto akikua na kuja kuyasoma haya kuhusu alivozaliwa na mimba yake ilivopatikana na mamake hiyo mipicha atajisikiaje?hivi huyu dada ni mzima kichwani huyu.
 
Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika mimba Wema yameendelea kuzunguka.

According to anayesemekana ni baba kijacho, amesema wanategemea Wema ajifungue baada ya miezi sita au saba, ambapo kwa maana hiyo Muda huu ana mimba ya miezi mitatu.

Mimba ya miezi mitatu ni mimba iliyoingia mwezi wa kumi na moja (November) ama mwezi wa kumi (October) , ambapo wakati huo Wema Sepetu alikua katika mapenzi na x boyfriend wake Luis Munana.....
Kama alipata mimba mwezi huu Kuna uwezekano ni ya Luis

Maswali yanayogonga kwa watu ni;

1. Je, wakati Wema yupo na Luis alikua anagongwa na Idris??
2. Kama sio, Ina maana aliyempachika mimba ni Luis?
3. Ni nani aliyempachika mimba Wema Sepetu?
e73005269550b1515881760461463f9d.jpg

View attachment 319769
93119f699cf74c534b219dcefd3d30a3.jpg

oh yeah like we care.....

seriously .... you actual start a thread for this...
 
Let's see the part 11 of this movie! Be assured Galina mimba subirieni changa la macho tena, kwani kwa Chalzy-Baba MwanaTwanga ilikuwaje?
 
Furaha ya mwanamke mimba .... Hongera sepetu
 
Kuna watu wana maamuzi magumu kweli! HUYU mdada kweli wa kutomba bila ya mwamvuli? Maana nasikia ni mzalendo kweli kwny mboo hajawahi kukataa Azma ya mwanaume cha msingi ama uwe Cash Man au Maarufu.
 
Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika mimba Wema yameendelea kuzunguka.

According to anayesemekana ni baba kijacho, amesema wanategemea Wema ajifungue baada ya miezi sita au saba, ambapo kwa maana hiyo Muda huu ana mimba ya miezi mitatu.

Mimba ya miezi mitatu ni mimba iliyoingia mwezi wa kumi na moja (November) ama mwezi wa kumi (October) , ambapo wakati huo Wema Sepetu alikua katika mapenzi na x boyfriend wake Luis Munana.....
Kama alipata mimba mwezi huu Kuna uwezekano ni ya Luis

Maswali yanayogonga kwa watu ni;

1. Je, wakati Wema yupo na Luis alikua anagongwa na Idris??
2. Kama sio, Ina maana aliyempachika mimba ni Luis?
3. Ni nani aliyempachika mimba Wema Sepetu?
e73005269550b1515881760461463f9d.jpg

View attachment 319769
93119f699cf74c534b219dcefd3d30a3.jpg
Atakuwa kapachikwa mimba na mwanamme flani hivi lakini sio ishu wala nini.
 
Majanga ya wasaii wetu, tusubiri sura ya mtoto itajieleza inawezekana wote walikuwa wanapiga.
 
Back
Top Bottom