Nani aliyemwambia 'Kiboko ya Wachawi' akimbie Nchini baada ya Kanisa lake la Kitapeli Buza Kufungiwa?

Nani aliyemwambia 'Kiboko ya Wachawi' akimbie Nchini baada ya Kanisa lake la Kitapeli Buza Kufungiwa?

Arudi kuja kuendeleza utapeli wake....washaona huku kuna wpmbv wengi na walikuwa wanajipigia tu
Mwambie ahamie kwa kagame sasa

Ova
Tz shamba la Bibi ,PK hataki huu Ujinga ndiyo maana alifuta makanisa ya mabii feki yote.
 
Taarifa za uhakika ni kwamba Kakimbia nchini baada ya kuambiwa kuwa angeweza Kukamatwa hasa baada ya baadhi ya Waumini waliokuwa Wakisali pale Kwake kulalamika kuwa Wametapeliwa nae sana huku Wengine wakitaka Kumshtaki kwa kusababisha Ndoa zao Kuvunjika na Familia zao kuwa katika Uadui na Chuki kubwa kutokana na Mahubiri yake ya Chuki na Fitina.

Na GENTAMYCINE nauliza kwanini System ya nchi haraka sana haikuamua Kumchunga ili asikimbie kama alivyofanya?
Mbarikiwa anasema Kuna tofauti Gani kati ya ki oko ya wajinga na Mwamposa wakamatwe wate
 
Back
Top Bottom