Nani aliyepanga haya mauaji ya hawa Marais Abraham Lincoln na John Kennedy?

Nani aliyepanga haya mauaji ya hawa Marais Abraham Lincoln na John Kennedy?

Haina shida mkuu.....
habari hizi zinauwezekano zikawa na harufu ya ukweli. Lincoln alipinga kuanzishwa kwa federal reserve bank ambayo ingetoa mwanya kwa matajiri walio nyuma ya mpango wa muda mrefu nwo kuitawala marekani, Pili ilikuwa kubadili First Ammendment ya US constitution ili itoe mwanya wa walionyuma ya nwo kukita mizizi US kitu ambacho Huyu rais hakukubaliana nacho. Kennedy hakukubaliana na hao watu wa vyama vya siri kuhusu Vietnum na hotuba zake ziliwatisha ikaonekana anaweza kuwa kikwazo kwa mpango mahususi wa nwo. hii ni kulingana na vyanzo mitandaoni.
 
Wadhungu walikua wanajaribu kitu muhimu cha siri ,shtuka kuna mada humu khs haya makitu,dadavua
 
habari hizi zinauwezekano zikawa na harufu ya ukweli. Lincoln alipinga kuanzishwa kwa federal reserve bank ambayo ingetoa mwanya kwa matajiri walio nyuma ya mpango wa muda mrefu nwo kuitawala marekani, Pili ilikuwa kubadili First Ammendment ya US constitution ili itoe mwanya wa walionyuma ya nwo kukita mizizi US kitu ambacho Huyu rais hakukubaliana nacho. Kennedy hakukubaliana na hao watu wa vyama vya siri kuhusu Vietnum na hotuba zake ziliwatisha ikaonekana anaweza kuwa kikwazo kwa mpango mahususi wa nwo. hii ni kulingana na vyanzo mitandaoni.
Mkuu kwa namna unavyosema inaonekana kwamba haya yametokea bahati mbaya kwa hawa marais wawili,lakini ukiangalia huo mtiririko wa matukio yao inaonekana siyo kweli kwamba yalitokea bahati mbaya....

Ninaposema bahatio mbaya ninakuwa ninamaanisha kwamba wakati Lincoln anachaguliwa haikujulikana kama atafanya aliyofanya,pia wakati Kennedy anachaguliwa hawakujua.Haya yote kwa kuangalia hayo matukio inaonekana tofauti kabisa.Hapo kuna mawili...

1:Lincoln hakuwa anajua kinachoendelea na alipokuja kupinga wakamfanya kuwa historia na wakatengeneza mtiririko wa matukio yake kuja kumshape mtu mwingine kama yeye kwa maana ya Kennedy,hii inamaana kwamba Kennedy alikuwa anajua kinachoendelea.....

2:Wotw walikuwa wanajua kinachoendelea.Hii inamaana kwamba walikuwa wanajua destiny yao....

Kimsingi kwa namna nijuavyo mimi ni kwamba hawa watu huwa wana namna yao ya kutengeneza matukio kwa faida yao,nikieleza hapa kwa namna nijuavyo maelezo yatakuwa marefu sana lakini iwe iwavyo logic inakana kabisa haya kutokea bahati mbaya.....
 
us ndio wanaongoza sana kwa vifo vya maslahi ya kiserikali au matukio ya kupanga kwa makusudi kucreate fear kwa wananchi ili wapitishe ssheria fulani.....
ukisoma kitabu cha secret terror na matukio ya oklahoma bombs au texas masacles...utaelewa..
 
upload_2016-12-20_13-15-50.jpeg
upload_2016-12-20_13-15-50.jpeg
Mr. KENEDY!!!!!!!!!!!!!!!!!!! KENEDY
 
Jameni kuna fursa hapa ya kutengeneza pesa nzuri tu,kwa Siku,wiki na hata mwezi.Kama were no kijana,baba mama au Mzee hii ndio fursa,
Chakufanya tembelea hii hapa link kwa maelezo zaidi

jamiiforums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
Ukipata ntakuongezea laki 1
 
kuna kitu kinaitwa reincarnation ,lincoln na kennedy ni mtu mmoja aliyeishi zama mbili tofauti
 
hii ni copy and past toka gazet rai no 686 la feb 2007 alhamis mwandish
WILLIAM SHAO heading WANAOTAKA KUONA YALIOFICHIKA zaid soma hum the
secret behind science milacle,na how to secceed Eiyer njoo ubishe hujaumiza kichwa.....
Kama uliona huko ukafaidi peke yako.....mleta bandiko ni man of the match.
 
Back
Top Bottom