Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari hizi zinauwezekano zikawa na harufu ya ukweli. Lincoln alipinga kuanzishwa kwa federal reserve bank ambayo ingetoa mwanya kwa matajiri walio nyuma ya mpango wa muda mrefu nwo kuitawala marekani, Pili ilikuwa kubadili First Ammendment ya US constitution ili itoe mwanya wa walionyuma ya nwo kukita mizizi US kitu ambacho Huyu rais hakukubaliana nacho. Kennedy hakukubaliana na hao watu wa vyama vya siri kuhusu Vietnum na hotuba zake ziliwatisha ikaonekana anaweza kuwa kikwazo kwa mpango mahususi wa nwo. hii ni kulingana na vyanzo mitandaoni.Haina shida mkuu.....
Mkuu kwa namna unavyosema inaonekana kwamba haya yametokea bahati mbaya kwa hawa marais wawili,lakini ukiangalia huo mtiririko wa matukio yao inaonekana siyo kweli kwamba yalitokea bahati mbaya....habari hizi zinauwezekano zikawa na harufu ya ukweli. Lincoln alipinga kuanzishwa kwa federal reserve bank ambayo ingetoa mwanya kwa matajiri walio nyuma ya mpango wa muda mrefu nwo kuitawala marekani, Pili ilikuwa kubadili First Ammendment ya US constitution ili itoe mwanya wa walionyuma ya nwo kukita mizizi US kitu ambacho Huyu rais hakukubaliana nacho. Kennedy hakukubaliana na hao watu wa vyama vya siri kuhusu Vietnum na hotuba zake ziliwatisha ikaonekana anaweza kuwa kikwazo kwa mpango mahususi wa nwo. hii ni kulingana na vyanzo mitandaoni.
Ukipata ntakuongezea laki 1Jameni kuna fursa hapa ya kutengeneza pesa nzuri tu,kwa Siku,wiki na hata mwezi.Kama were no kijana,baba mama au Mzee hii ndio fursa,
Chakufanya tembelea hii hapa link kwa maelezo zaidi
jamiiforums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
ndio tunalitaka hilo kundiVifo vyao ni vya kupanga kwa makusudi ya kundi fulani la watu...
Hii imani imefika huku tena?kuna kitu kinaitwa reincarnation ,lincoln na kennedy ni mtu mmoja aliyeishi zama mbili tofauti
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii imani imefika huku tena?
Hakikaconsipirancy.
Kama uliona huko ukafaidi peke yako.....mleta bandiko ni man of the match.hii ni copy and past toka gazet rai no 686 la feb 2007 alhamis mwandish
WILLIAM SHAO heading WANAOTAKA KUONA YALIOFICHIKA zaid soma hum the
secret behind science milacle,na how to secceed Eiyer njoo ubishe hujaumiza kichwa.....