Nani aliyewaambieni na kuwadanganyeni kuwa Kocha wa Pyramids FC haijui Ligi ya Tanzania na Timu bora ya Simba SC?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza Kuitafsiri kwenu kama hivi…..

" Wachezaji wa yanga ni laini kama bamia au tambi kama yule namba 14 ndiyo kabisaa ana pinduka kama kiti cha saloon na hata huko kwenye ligi waji pange sawa sawa maana simba haishikiki " maneno ya kocha wa pyramids baada ya mchezo wa jana.

Ahsante sana Kocha Mkuu wa Pyramids FC kwa kuwa Muwazi na Mkweli.
 
Simba inajulikana na UD SONGO tu , jana wababe wa simba UD SONGO wamefungwa goli 6, hapo ndio ujue simba ilivyo mbovu
 
Naona leo unafki wako kwa Yanga umeamua kujitojeza. Kama Genta wa simba. Eagle nae kadhihirisha yeye ni Simba.

Nashukuru kwa mara ya Kwanza kabisa Wewe Kukubali na pengine na wengine watajifunza na kuelewa kutoka Kwako kuwa An Eagle ni Mtu mwingine na huyo sijui Gentamisinino nae ni Kiumbe mwingine tofauti kabisa.
 
Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza Kuitafsiri kwenu kama hivi…..

" Wachezaji wa yanga ni laini kama bamia au tambi kama yule namba 14 ndiyo kabisaa ana pinduka kama kiti cha saloon na hata huko kwenye ligi waji pange sawa sawa maana simba haishikiki " maneno ya kocha wa pyramids baada ya mchezo wa jana.

Ahsante sana Kocha Mkuu wa Pyramids FC kwa kuwa Muwazi na Mkweli.
Wehu..
 
Unachekesha wewe. Tatizo wabadili majina ila idea zile zile. Ila Eagle alijifanya kuipenda Yanga. Ila naona leo kaonyesha real color yake ya Simba kama alivyo Genta.
 
Nashukuru kwa mara ya Kwanza kabisa Wewe Kukubali na pengine na wengine watajifunza na kuelewa kutoka Kwako kuwa An Eagle ni Mtu mwingine na huyo sijui Gentamisinino nae ni Kiumbe mwingine tofauti kabisa.
Aje simba sas
 
Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza Kuitafsiri kwenu kama hivi…..

" Wachezaji wa yanga ni laini kama bamia au tambi kama yule namba 14 ndiyo kabisaa ana pinduka kama kiti cha saloon na hata huko kwenye ligi waji pange sawa sawa maana simba haishikiki " maneno ya kocha wa pyramids baada ya mchezo wa jana.

Ahsante sana Kocha Mkuu wa Pyramids FC kwa kuwa Muwazi na Mkweli.
Akili ya Kimikia FC.
 
Back
Top Bottom