GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naona leo unafki wako kwa Yanga umeamua kujitojeza. Kama Genta wa simba. Eagle nae kadhihirisha yeye ni Simba.
Wehu..Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza Kuitafsiri kwenu kama hivi…..
" Wachezaji wa yanga ni laini kama bamia au tambi kama yule namba 14 ndiyo kabisaa ana pinduka kama kiti cha saloon na hata huko kwenye ligi waji pange sawa sawa maana simba haishikiki " maneno ya kocha wa pyramids baada ya mchezo wa jana.
Ahsante sana Kocha Mkuu wa Pyramids FC kwa kuwa Muwazi na Mkweli.
hahaa Genta anafurahisha sana na kujimwambafy kwa ID nyingneKhaaaaa! Genta kazaa mtoto copyright
Unachekesha wewe. Tatizo wabadili majina ila idea zile zile. Ila Eagle alijifanya kuipenda Yanga. Ila naona leo kaonyesha real color yake ya Simba kama alivyo Genta.Nashukuru kwa mara ya Kwanza kabisa Wewe Kukubali na pengine na wengine watajifunza na kuelewa kutoka Kwako kuwa An Eagle ni Mtu mwingine na huyo sijui Gentamisinino nae ni Kiumbe mwingine tofauti kabisa.
Aje simba sasNashukuru kwa mara ya Kwanza kabisa Wewe Kukubali na pengine na wengine watajifunza na kuelewa kutoka Kwako kuwa An Eagle ni Mtu mwingine na huyo sijui Gentamisinino nae ni Kiumbe mwingine tofauti kabisa.
Nawaona Mod wameziunganisha!Hii thread si ilianzishwa na Eagle ? Imekuwaje tena inaonyesha ilianzishwa na Genta?
Id ya mtu mmoja hizo huyohuyo gentaNaona leo unafki wako kwa Yanga umeamua kujitojeza. Kama Genta wa simba. Eagle nae kadhihirisha yeye ni Simba.
Akili ya Kimikia FC.Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza Kuitafsiri kwenu kama hivi…..
" Wachezaji wa yanga ni laini kama bamia au tambi kama yule namba 14 ndiyo kabisaa ana pinduka kama kiti cha saloon na hata huko kwenye ligi waji pange sawa sawa maana simba haishikiki " maneno ya kocha wa pyramids baada ya mchezo wa jana.
Ahsante sana Kocha Mkuu wa Pyramids FC kwa kuwa Muwazi na Mkweli.
Mod ameona ai_auto, kumbe jamaa yule yule [emoji3]Hii thread si ilianzishwa na Eagle ? Imekuwaje tena inaonyesha ilianzishwa na Genta?
Hhahahahahaahahah,kazi kweli kweli.Mod ameona ai_auto, kumbe jamaa yule yule [emoji3]
Vilaza kweli wanamfukuza kocha Kwa kuwaambia ukweli.Akili za wananchi bwana!
Simba inajulikana na UD SONGO tu , jana wababe wa simba UD SONGO wamefungwa goli 6, hapo ndio ujue simba ilivyo mbovu