Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vizuri na muhimu piaNice tujaribu kujiweka karibu na watu wetu wa karibu pale inapobidi...!
hili swali linakera sanaAisee pole sana kiongozi, kikawaida binadamu baadhi yao wapo hivyo ukijiweka nao karibu sana inakuwa unaongeza shida nyingi kwa upande wako, watakujazia matatizo yao lukuki kiasi kwamba mpaka unajutia.
Kuna jamaa ilikuwa akipigiwa simu na ndugu zake swali lao kubwa utaskia "UNAOA LINI ETI...?" basi huwa anakereka sana, ikampelekea kutopokea simu zao na hata yeye mwenyewe hawapigii tena siku hizi labda itokee dharura kubwa.
Safi sana sijawahi kuliona hilo andiko ila ni vizuri sana kuwa karibu na watu wetu wa karibu pale inapobidi...!Andiko kama hili nililiona fb kwa mwanadada Laura Pettie zaid ya miaka 3,kwakweli toka nimesoma kwake huwa nilifanyia kazi
Ni wasumbufu sanaAisee pole sana kiongozi, kikawaida binadamu baadhi yao wapo hivyo ukijiweka nao karibu sana inakuwa unaongeza shida nyingi kwa upande wako, watakujazia matatizo yao lukuki kiasi kwamba mpaka unajutia.
Kuna jamaa ilikuwa akipigiwa simu na ndugu zake swali lao kubwa utaskia "UNAOA LINI ETI...?" basi huwa anakereka sana, ikampelekea kutopokea simu zao na hata yeye mwenyewe hawapigii tena siku hizi labda itokee dharura kubwa.
Ni wasumbufu sanaAisee pole sana kiongozi, kikawaida binadamu baadhi yao wapo hivyo ukijiweka nao karibu sana inakuwa unaongeza shida nyingi kwa upande wako, watakujazia matatizo yao lukuki kiasi kwamba mpaka unajutia.
Kuna jamaa ilikuwa akipigiwa simu na ndugu zake swali lao kubwa utaskia "UNAOA LINI ETI...?" basi huwa anakereka sana, ikampelekea kutopokea simu zao na hata yeye mwenyewe hawapigii tena siku hizi labda itokee dharura kubwa.
Kiukweli kuna baadhi ya ndugu ni wasumbufu kupita maelezo, inafikia mpaka mtu anaona ni bora asiwe na mawasiliano nao ili tu kuepuka usumbufu wao kiongozi.Ni wasumbufu sana
Kwasasa siwapigii hata iweje shida zangu napambana nazo mwisho wamebaki kusema naringa ila nafurahi kuishi haya maisha
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Inakera sana kuona wewe unawapigia, unajali, unawasalimu ila wao wanapotezea, mwishowe inakufanya nawe uwapuuze tu.Nawakumbuka wengi sana pia hope nao wananikumbuka kwanini sasa wasinitafute wao maana ndo wengi me ni mmoja kama hawataki bas tujifunze kubalance shobo
Ndo maisha nilochaguta mkuu haya mambo ukijifanya ndo mtu wa watu kumbe watu wenyewe sio wako niliachana nayo aseeInakera sana kuona wewe unawapigia, unajali, unawasalimu ila wao wanapotezea, mwishowe inakufanya nawe uwapuuze tu.
TUISHI HUMU BOSSSafi sana kiongozi unatakiwa kumjali anayekujali pia...!