Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Ningependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi.
Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa.
Kusema kweli mashairi ya kwenye hizi nyimbo yamepangiliwa na kupangika kwelikweli.
Ndiyo maana nyimbo zake hizi latest vijana wamezifanyia sana cover YouTube kuliko nyimbo za msanii yeyote Tanzania.
Tuambiwe sasa mastermind wa mashairi haya Ili tumpe maua yake.