Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Nadhani la Lal la, Ali achia wakati mnaya. (Ramadhani ndo ilikuwa bado wiki)Lalala ,nadhani mwindishi yuko mule ndani ya kings music na ni kweli nyimbo nyingi Zina maudhui yanayofanana na ni nzuri sana
Nadhani kwa Sasa ndio jamaa anaenjoy music kuliko wakati mwingine
mahaba jamani dahhhNingependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi.
Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa.
Kusema kweli mashairi ya kwenye hizi nyimbo yamepangiliwa na kupangika kwelikweli.
Ndiyo maana nyimbo zake hizi latest vijana wamezifanyia sana cover YouTube kuliko nyimbo za msanii yeyote Tanzania.
Tuambiwe sasa mastermind wa mashairi haya Ili tumpe maua yake.
Ule wimbo nimepata mda wa kusikiliza baada ya kupata time ya kupumzikaNadhani la Lal la, Ali achia wakati mnaya. (Ramadhani ndo ilikuwa bado wiki)
[emoji117]Maana hakuifanyia hata promotion
Sana, nashangaa hajaufanyia promo!Ule wimbo nimepata mda wa kusikiliza baada ya kupata time ya kupumzika
Mzuri sana vijana wanajitahidi mashairi rhythm video vyote class sana
Aliutoa few days b4 Holly month of Ramadan thats why hakupata time ya kuufanyia promotion.Sana, nashangaa hajaufanyia promo!
Oh, kumbe!Aliutoa few days b4 Holly month of Ramadan thats why hakupata time ya kuufanyia promotion.