Nani ameelimisha sana jamii? Jay Mo (Mo technique ) Vs Fid Q (Farid Kubanda)

Nani ameelimisha sana jamii? Jay Mo (Mo technique ) Vs Fid Q (Farid Kubanda)

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Jay-Mo.jpg


Vs

13312_369685881640_86406221640_4078062_5860220_n.jpg
 
Sina kumbukumbu ya ngoma yoyote ya Fid ya kuelimisha jamii lkn hii haifanyi Fid kuwa sio msanii mzuri no jamàa yuko skilled sana,lkn stori tatu ile ni bonge ya ngoma.Mo hizi mambo za trap awaachie wakina harmorapa,tunataka Mo wa kitambo
 
Jay Mo alikuwa mkali kwenye 'Ulimwengu ndio mama' tu, huku kwingine kazidiwa na Fid
 
Story 3 ile ngoma Jay Moe alifanya kitu kikubwa sana.....Fid Q hajawahi kutoa ngoma ya kuelemisha kama hii
 
Mvua na jua, maisha ya boding. Mawazo, tathmini, ingekuwa vipi. Zina ujumbe wa kuelimisha fid q yeye ni mzee wa methali nahau na mafumbo
 
Fid ni aina ya rapa anayewekeza sana kwenye technical side of hip hop, anawekeza kwenye bars zaidi. Jay Mo anawekeza kwenye mada zaidi, mfano jua na mvua, bishoo, kama unataka demu, stori 3, n.k. Deliverance ya Jay Mo pia ni rahisi kwa yeyote kuelewa, bila kujali upeo. Mo pia ni mbunifu zaidi. na anaweza kusimama kwenye mada moja bila kuyumba.

Kura yangu kwa mteule.
 
Tofauti yao ni namna na kufikisha ujumbe wao...Fid ni mtu wa mafumbo sana..kumwelewa haraka siyo rahisi lakini pia si mtu wa kubaki na mada moja...yeye anajivunia ile ujuzi wa kucheza na maneno na unakuta ujume wa kila bar tofauti na ujumbe wa bar nyingine...Jay mo ni mtu rahisi kumuelewa haihitaji kujifikirisha sana...nyimbo nzima huwa inabeba maudhui ya aina moja pasipo kuchanganya changanya....kwa hiyo Jay mo lazima atampita Fid kwa vigezo hivyo....ila Fid anamzidi Mo kwasababu yeye hayumbishwi na soko ni mtu mwenye misimamo yake...
 
Jay katisha mazee, tena mistari yake inaelimisha haina ukakasi wowote
 
Jay moe
1.ulimwengu ndio mama
2.majukumu
3.mshamba ft juma nature
4.Safari njema ft dudubaya and complex
5.nataka demu ft q chief and solo thang
6.maisha ya boarding ft dully sykes
7.mpenzi kwaheri ft TID
8.misosi mitungi na pamba ft AY
9.bishoo
10.Mvua na jua
11.cheza kwa step ft ngwea
12.kimya kimya ft ngwea
13.kasimama peke yake ft shakii
14.narudi shule ft mwana fa
15.alhamdulilah ft mchizi mox
16.mwingne ft rah p
17.mawazo
18.twende kwa mganga
19.tingisha ft TID
20.Mocumentary
21.story tatu
22.Miss Tanzania ft Ngwea
23.twenzetu ft jcb
24.famous ft p funk
25.hili game

Ntarudi
 
Back
Top Bottom