Nani ameelimisha sana jamii? Jay Mo (Mo technique ) Vs Fid Q (Farid Kubanda)

Nani ameelimisha sana jamii? Jay Mo (Mo technique ) Vs Fid Q (Farid Kubanda)

Nawaomben msikilize ngoma za fid zifuatazo SUMU, PROPAGANDA, USINIKUBAL HARAKA. mkisikiliza hizo mrud tubishane naona weng mnachuki na ngosha
Hakuna chuki.. Jaymoe ni fundi kitambo wakati huyo ngosha bado hajafika mjini... unaona hata unavyotaja nyimbo zake unaokoteza!!
 
Nawaomben msikilize ngoma za fid zifuatazo SUMU, PROPAGANDA, USINIKUBAL HARAKA. mkisikiliza hizo mrud tubishane naona weng mnachuki na ngosha
Hamna anayemchukia sema fid Q anauwezo mkubwa wa kuiba misemo kwenye vitabu vya misemo na nahau kutoka Tanzania toleo 1 mpaka la 3
 
Wote wakali ila Jay Moe anauwezo wa kuufikisha ujumbe wake kwa watu wengi sana kwani anachorap hata ambaye hajaenda shule anauelewa ujumbe mfano Story 3.

Kwa upande wa Fid Q unahitaji kuwa na thinking capacity kubwa kuweza kumuelewa lasivyo utajikuta unazimika na flow pamoja na beat tu ila ujumbe usiupate vile ilivotakiwa.
 
Verse moja ya Fid ukiichambua unatoa ngoma za story kama 3 za J moe. Watu wanasema fid Anacopy hebu nanyie mcopy basi huko mtuandikie tuone
 
Fid Q nyimbo zake huwa naelewa mstari mmoja mmoja ila Jey Moe wimbo mzima nauelwa.

Sio kwamba Fid Q simpende, Ila sipendi kuumiza kichwa kuchanganua mashairi yake.
 
Verse moja ya Fid ukiichambua unatoa ngoma za story kama 3 za J moe. Watu wanasema fid Anacopy hebu nanyie mcopy basi huko mtuandikie tuone
Sisi sio wanamuziki ni wasikilizaji wa muziki vindakindaki kwa ukwei uwezo wa fid Q umefikia tamati
 
Mvua na jua, maisha ya boding. Mawazo, tathmini, ingekuwa vipi. Zina ujumbe wa kuelimisha fid q yeye ni mzee wa methali nahau na mafumbo

'Tathmini' ?!! Kama sikosei 'Tathmini' ni track ya Prof Jay, alimshirikisha Jay Moe.

-Kaveli-
 
''Huyu na Yule'' ..... huyu anakupenda, yule anakudiss. Ngosha the Don.

Kwenye Verse moja ya Fid, unaweza ku-learn messages zaidi ya 5. Unlike to Jay Moe.

Kuelewa verses/messages za Fid kwenye rap yake inakubidi utulize sana akili. Ni kama alivyokuwa mwana FA zamani.

-Kaveli-
 
Ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye vitabu mie natumia mziki kufikisha ujumbe kwa watu usitembee pekupeku bila kuvaa viatu,nawakilisha kitaa yaani kuliko hata wabunge,kitaa wananiamini kama kiongozi wa dini,mie ghetto super star ukombozi wa nini?
 
acha kumkosea heshima juma mchopanga
ngosha anajua ila ni copycat sana wa misemo ya watu iliyoandikwa vitabuni
 
''Huyu na Yule'' ..... huyu anakupenda, yule anakudiss. Ngosha the Don.

Kwenye Verse moja ya Fid, unaweza ku-learn messages zaidi ya 5. Unlike to Jay Moe.

Kuelewa verses/messages za Fid kwenye rap yake inakubidi utulize sana akili. Ni kama alivyokuwa mwana FA zamani.

-Kaveli-
sasa unataka solution ya tatizo la akili unahitaji tena akili itulie ndo upate dawa!!!
 
Amini kesho ipo kama ipo ili uipate
Usikate tamaa
Ukitaka kufuga chatu andaa unga wa kumlisha ukitaka kufika tatu moja mbili uwe umezipita
Usiinte half man niite man and ahalf u think small and you will remain small for life
Hahahahaa anasema unaweza flow slow lakin brain ina speed up na
Anaulenga mwezi. Na jua hata akikosa atatua tu juu ya nyota na Mambo hatakua shkopa
 
Mashairi ya Ngosha yamejaa mafumbo hiyo jamii itaelimika vipi? Jaymo mkali mara thousands;
 
Tafuta wimbo wa majukumu by jay mo ndio utajua kwanini aliitwa mo technique mo fleva
 
Jay moe
1.ulimwengu ndio mama
2.majukumu
3.mshamba ft juma nature
4.Safari njema ft dudubaya and complex
5.nataka demu ft q chief and solo thang
6.maisha ya boarding ft dully sykes
7.mpenzi kwaheri ft TID
8.misosi mitungi na pamba ft AY
9.bishoo
10.Mvua na jua
11.cheza kwa step ft ngwea
12.kimya kimya ft ngwea
13.kasimama peke yake ft shakii
14.narudi shule ft mwana fa
15.alhamdulilah ft mchizi mox
16.mwingne ft rah p
17.mawazo
18.twende kwa mganga
19.tingisha ft TID
20.Mocumentary
21.story tatu
22.Miss Tanzania ft Ngwea
23.twenzetu ft jcb
24.famous ft p funk
25.hili game

Ntarudi
Makujumu naitafutaga sana bila mafanikio mwenye nayo aipandishe hapa
 
Back
Top Bottom