MOI JOHN
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 1,735
- 1,082
Hahahahkuelemisha kivipi? kama huelemike kwa wazazi wako basi juwa wew ni sikio lakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahkuelemisha kivipi? kama huelemike kwa wazazi wako basi juwa wew ni sikio lakufa
Hakuna chuki.. Jaymoe ni fundi kitambo wakati huyo ngosha bado hajafika mjini... unaona hata unavyotaja nyimbo zake unaokoteza!!Nawaomben msikilize ngoma za fid zifuatazo SUMU, PROPAGANDA, USINIKUBAL HARAKA. mkisikiliza hizo mrud tubishane naona weng mnachuki na ngosha
Hamna anayemchukia sema fid Q anauwezo mkubwa wa kuiba misemo kwenye vitabu vya misemo na nahau kutoka Tanzania toleo 1 mpaka la 3Nawaomben msikilize ngoma za fid zifuatazo SUMU, PROPAGANDA, USINIKUBAL HARAKA. mkisikiliza hizo mrud tubishane naona weng mnachuki na ngosha
Sisi sio wanamuziki ni wasikilizaji wa muziki vindakindaki kwa ukwei uwezo wa fid Q umefikia tamatiVerse moja ya Fid ukiichambua unatoa ngoma za story kama 3 za J moe. Watu wanasema fid Anacopy hebu nanyie mcopy basi huko mtuandikie tuone
Mvua na jua, maisha ya boding. Mawazo, tathmini, ingekuwa vipi. Zina ujumbe wa kuelimisha fid q yeye ni mzee wa methali nahau na mafumbo
sasa unataka solution ya tatizo la akili unahitaji tena akili itulie ndo upate dawa!!!''Huyu na Yule'' ..... huyu anakupenda, yule anakudiss. Ngosha the Don.
Kwenye Verse moja ya Fid, unaweza ku-learn messages zaidi ya 5. Unlike to Jay Moe.
Kuelewa verses/messages za Fid kwenye rap yake inakubidi utulize sana akili. Ni kama alivyokuwa mwana FA zamani.
-Kaveli-
Makujumu naitafutaga sana bila mafanikio mwenye nayo aipandishe hapaJay moe
1.ulimwengu ndio mama
2.majukumu
3.mshamba ft juma nature
4.Safari njema ft dudubaya and complex
5.nataka demu ft q chief and solo thang
6.maisha ya boarding ft dully sykes
7.mpenzi kwaheri ft TID
8.misosi mitungi na pamba ft AY
9.bishoo
10.Mvua na jua
11.cheza kwa step ft ngwea
12.kimya kimya ft ngwea
13.kasimama peke yake ft shakii
14.narudi shule ft mwana fa
15.alhamdulilah ft mchizi mox
16.mwingne ft rah p
17.mawazo
18.twende kwa mganga
19.tingisha ft TID
20.Mocumentary
21.story tatu
22.Miss Tanzania ft Ngwea
23.twenzetu ft jcb
24.famous ft p funk
25.hili game
Ntarudi
Story 3Jay Mo alikuwa mkali kwenye 'Ulimwengu ndio mama' tu, huku kwingine kazidiwa na Fid