Fid ni aina ya rapa anayewekeza sana kwenye technical side of hip hop, anawekeza kwenye bars zaidi. Jay Mo anawekeza kwenye mada zaidi, mfano jua na mvua, bishoo, kama unataka demu, stori 3, n.k. Deliverance ya Jay Mo pia ni rahisi kwa yeyote kuelewa, bila kujali upeo. Mo pia ni mbunifu zaidi. na anaweza kusimama kwenye mada moja bila kuyumba.
Kura yangu kwa mteule.