Nani amegharimia mkutano wa Lissu?

Nani amegharimia mkutano wa Lissu?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Je, ni wanachadema wasiompenda Mbowe au ni wanaCCM wasiopenda mambo yalivyo kwenye awamu hii?

Je, ni fedha za wazungu?

Nani ana majibu haya maana Mh. Lissu hana fedha za kuweza kulipia gharama zote za mkutano na wajumbe.
 
Kukodi ukumbi kama ule ni shilingi ngapi?
 
Kwanini unasema Lissu hana hela? We unajua balance zake kwenye accounts zake?
Kwani Lissu anafanyakazi gani? Hata hivyo hivyo kasema mwenyewe kuwa hakutoa hata Senti Moja yake kwenye shuguli Ile, wewe unawashwa nn kusema kalipa
 
Je, ni wanachadema wasiompenda Mbowe au ni wanaCCM wasiopenda mambo yalivyo kwenye awamu hii?

Je, ni fedha za wazungu?

Nani ana majibu haya maana Mh. Lissu hana fedha za kuweza kulipia gharama zote za mkutano na wajumbe.

Nonsense
 
Lisu anawafadhili wake wa ndani na hata wa nje yawezekana. Sio si ingekuwa cheap zaidi angefanyia makao makuu ya CDM mikocheni?
 
Pesa hizi zina uhusiano na Msingwa kama sikosei kwa maandalizi ya 2025 kupunguza nguvu ya chadema
 
Back
Top Bottom