Kwani SIRIKALI haijaanza kumwaga pesa mtaani kupitia utekelezaji wa bajeti yake ya 2026/2027?Utafiti wangu mdogo wa Biashara mtaani naona kuna uhaba wa pesa,unaoleta changamoto kwa watoa huduma mtaani kupata maokoto waliyozoea. Yamepungua sana!
Sijui ni Mbinyo wa Mabeberu au Makusanyo ya serikali kwa mwaka wake wa fedha ulionzq karibuni! Uwezo wa watu kuuza na kununua umehamanika!
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,hata haya yatapita kama mengine yaliyopita
Mazao hayana bei ndio sababuUtafiti wangu mdogo wa Biashara mtaani naona kuna uhaba wa pesa,unaoleta changamoto kwa watoa huduma mtaani kupata maokoto waliyozoea. Yamepungua sana!
Sijui ni Mbinyo wa Mabeberu au Makusanyo ya serikali kwa mwaka wake wa fedha ulionzq karibuni! Uwezo wa watu kuuza na kununua umehamanika!
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,hata haya yatapita kama mengine yaliyopita
Na wewe mwana ccm inaivua nguo serikali!! tutakupa kesi ya ugaidi sasa hivi au tukufute uanachama.!?Mazao hayana bei ndio sababu
Mimi sio mwana CCM ni shabiki wa SSHNa wewe mwana ccm inaivua nguo serikali!! tutakupa kesi ya ugaidi sasa hivi au tukufute uanachama.!?
Posho hakuna Kwa nani? Saizi Kila Waziri anazunguka Mkoani hawalipwi?Bajeti bado , halafu posho hakuna kwa sana.
Ni kama vile Nchi imesimamaUtafiti wangu mdogo wa Biashara mtaani naona kuna uhaba wa pesa,unaoleta changamoto kwa watoa huduma mtaani kupata maokoto waliyozoea. Yamepungua sana!
Sijui ni Mbinyo wa Mabeberu au Makusanyo ya serikali kwa mwaka wake wa fedha ulionzq karibuni! Uwezo wa watu kuuza na kununua umehamanika!
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,hata haya yatapita kama mengine yaliyopita
Mafisadi ndio wameshika nchi unategemea nini zaid ya kujilimbikizia mapesa mifukoni?Utafiti wangu mdogo wa Biashara mtaani naona kuna uhaba wa pesa,unaoleta changamoto kwa watoa huduma mtaani kupata maokoto waliyozoea. Yamepungua sana!