Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Wewe mpaka sasa umepiga kiasi gani?Tangu yule mother muhamasisha ujinga aseme kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake..pesa zina pigwa balaa .
Acha upuuzi,jibu hoja kwa akili.Wewe mpaka sasa umepiga kiasi gani?
Sijibugi upuuzi wenu mimiAcha upuuzi,jibu hoja kwa akili.
Mtanzania kweli weweHistoria ya mambo ya kuagizia nguzo aliyatoa Dkt Kalemani. Kipindi hicho Dkt Kalemani alipoleta hilo wazo Dkt Magufuli alikataa na waziri mkuu pia aligoma, yaani kwa ufupi serikali ilikataa. Na wasi wasi wao mkubwa ilikuwa ni kuhusu uwezo wetu wa ndani kuweza kutosheleza mahitaji ya nguzo. Ndipo Dkt Kalemani akakomaa, ila alichoambiwa na wakubwa zake kipindi hicho ni kuwa ole wake awadanganye hivyo akapewa ruhusa with conditions. Mungu mkubwa mahitaji yaliweza kukidhi kabisa na hapakuwa na upungufu. Zali lilikuwa kwa kundi la wafanya biashara wenyr dili la nguzo walikuwa wanamizigo iko njie hivyo lile katazo la waziri lilifanya walioagizia mizigo iwe njiani au wapi walikula hasara. Na ndiyo maana Mama kafika cha kwanza ongeza bei ya umeme, na agiza nguzo toka nje ili waliopoteza hela za nguzo waweze kufidishiq hizo gharama kwa kuongeza bei ya umeme na kuunganisha. Sasa hivi kitakachofuata ni kuongeza bei ya umeme. Hata bwawa la Strigler mwenye wazo la kufufua alikiwa na Dkt Kalemani. Dkt Magufuli akiwa ndiyo kaingia madarakani aliwataka nishati walete miradi ya kupunguza bei ya umeme, hivyo Dkt Kalemani akaenda kwenye makabrasha ya wizara na kukuta huo mradi, ndiyo akaenda kumpelekea Dkt Magufuli na ikawa ndiyo ajenda. Ukiangalia serikali ya Dkt Magufuli ililenga kupunguza gharama za maisha. Ila nashukuru sana Mama kupitia JK wanatufundisha adabu yaani Mama aendelee kukaza hivyo hivyo na aendelee hivyo hivyo kuwapa ulaji jamaa zake, maana uongozi ake ulihitajika sana kipindi hiki. Tena ajijenge na Familia ya Mzee Dkt JK ijijenge na itawale kabisa hata miaka 100 ili akili za watanzania zikae sawa
AiseeHistoria ya mambo ya kuagizia nguzo aliyatoa Dkt Kalemani. Kipindi hicho Dkt Kalemani alipoleta hilo wazo Dkt Magufuli alikataa na waziri mkuu pia aligoma, yaani kwa ufupi serikali ilikataa. Na wasi wasi wao mkubwa ilikuwa ni kuhusu uwezo wetu wa ndani kuweza kutosheleza mahitaji ya nguzo. Ndipo Dkt Kalemani akakomaa, ila alichoambiwa na wakubwa zake kipindi hicho ni kuwa ole wake awadanganye hivyo akapewa ruhusa with conditions. Mungu mkubwa mahitaji yaliweza kukidhi kabisa na hapakuwa na upungufu. Zali lilikuwa kwa kundi la wafanya biashara wenyr dili la nguzo walikuwa wanamizigo iko njie hivyo lile katazo la waziri lilifanya walioagizia mizigo iwe njiani au wapi walikula hasara. Na ndiyo maana Mama kafika cha kwanza ongeza bei ya umeme, na agiza nguzo toka nje ili waliopoteza hela za nguzo waweze kufidishiq hizo gharama kwa kuongeza bei ya umeme na kuunganisha. Sasa hivi kitakachofuata ni kuongeza bei ya umeme. Hata bwawa la Strigler mwenye wazo la kufufua alikiwa na Dkt Kalemani. Dkt Magufuli akiwa ndiyo kaingia madarakani aliwataka nishati walete miradi ya kupunguza bei ya umeme, hivyo Dkt Kalemani akaenda kwenye makabrasha ya wizara na kukuta huo mradi, ndiyo akaenda kumpelekea Dkt Magufuli na ikawa ndiyo ajenda. Ukiangalia serikali ya Dkt Magufuli ililenga kupunguza gharama za maisha. Ila nashukuru sana Mama kupitia JK wanatufundisha adabu yaani Mama aendelee kukaza hivyo hivyo na aendelee hivyo hivyo kuwapa ulaji jamaa zake, maana uongozi ake ulihitajika sana kipindi hiki. Tena ajijenge na Familia ya Mzee Dkt JK ijijenge na itawale kabisa hata miaka 100 ili akili za watanzania zikae sawa
Naunga mkono hoja.. vyuma vikikaza zaid misukule itaamka.. manaa hamna watu wa ajab kama wa Tz.. yaan ni wale watu hata uwapige la kat.. wanachekelea tu na ndomana wanasiasa na chama fulan wanawachezesha shere kila siku maana wamejua hawatofanya loloteHistoria ya mambo ya kuagizia nguzo aliyatoa Dkt Kalemani. Kipindi hicho Dkt Kalemani alipoleta hilo wazo Dkt Magufuli alikataa na waziri mkuu pia aligoma, yaani kwa ufupi serikali ilikataa. Na wasi wasi wao mkubwa ilikuwa ni kuhusu uwezo wetu wa ndani kuweza kutosheleza mahitaji ya nguzo. Ndipo Dkt Kalemani akakomaa, ila alichoambiwa na wakubwa zake kipindi hicho ni kuwa ole wake awadanganye hivyo akapewa ruhusa with conditions. Mungu mkubwa mahitaji yaliweza kukidhi kabisa na hapakuwa na upungufu. Zali lilikuwa kwa kundi la wafanya biashara wenyr dili la nguzo walikuwa wanamizigo iko njie hivyo lile katazo la waziri lilifanya walioagizia mizigo iwe njiani au wapi walikula hasara. Na ndiyo maana Mama kafika cha kwanza ongeza bei ya umeme, na agiza nguzo toka nje ili waliopoteza hela za nguzo waweze kufidishiq hizo gharama kwa kuongeza bei ya umeme na kuunganisha. Sasa hivi kitakachofuata ni kuongeza bei ya umeme. Hata bwawa la Strigler mwenye wazo la kufufua alikiwa na Dkt Kalemani. Dkt Magufuli akiwa ndiyo kaingia madarakani aliwataka nishati walete miradi ya kupunguza bei ya umeme, hivyo Dkt Kalemani akaenda kwenye makabrasha ya wizara na kukuta huo mradi, ndiyo akaenda kumpelekea Dkt Magufuli na ikawa ndiyo ajenda. Ukiangalia serikali ya Dkt Magufuli ililenga kupunguza gharama za maisha. Ila nashukuru sana Mama kupitia JK wanatufundisha adabu yaani Mama aendelee kukaza hivyo hivyo na aendelee hivyo hivyo kuwapa ulaji jamaa zake, maana uongozi ake ulihitajika sana kipindi hiki. Tena ajijenge na Familia ya Mzee Dkt JK ijijenge na itawale kabisa hata miaka 100 ili akili za watanzania zikae sawa
Wala msigombane, hii nchi ni yetu sote- Ingawa yanayoendelea kwa mtu mwenye busara lazima apate wasiwasi kwelikweli, siyo tu upinzani ambao hawaelewi nchi inapoelekea, hata CCM wenyewe wapo kizani vile vileAcha upuuzi,jibu hoja kwa akili.
Yanayodhalisha ndio nini? [emoji23][emoji23]Naona Wabunge wa CcM hasa wanaotoka maeneo yanayodhalisha nguzo za umeme hasa Mkoa wa Iringa wanapiga kelele juu ya hii ishu.
Nani kaleta hili dili linalopigiwa kelele ambalo litasabaisha wananchi kutoaka maeneo haya kukosa kipato? ...
Nguzo za hapa nchini hazina ubora?
Umeelewa. Ngoja nirekebishe.Yanayodhalisha ndio nini? [emoji23][emoji23]
Nenda pemba ukale kasa huna loloteTuanze kujifunza kutunza Misitu badala ya kuikata kwa matumizi ya Nguzo za Umeme au mbao.
Nguzo za zege ni mbadala mwema sana hata kama tuna zinunua kwa bei mara mbili ya zile za magogo.
Hizi za zege ni za kudumu.
Naangalie Nguzo za Tazara ,takriban miaka 50 bado ziko vile vile.
Huhitaji kubadili kila mwaka.
WATANZANIA KUWENI NA AKILI.
Hayo magogo badala yake kutengenezea Furniture na karasi.
Dunia inakwenda mbele na technologia