Nani amemfundisha Harmonize kujibu Maswali vizuri mbele ya camera? Amepiga hatua kubwa na amewazidi wasanii wengi

Nani amemfundisha Harmonize kujibu Maswali vizuri mbele ya camera? Amepiga hatua kubwa na amewazidi wasanii wengi

Wasalaam wana jamvi!

Ni ukweli ulio wazi kabisa Msanii Harmonize amefanikiwa kuweka historia ambayo pengine wengi wetu hatukutarajia kabisa kama Harmonize angeweza kufanya uzinduzi mkubwa namna ile wa album yake!

Katika Jambo ambalo limenithibitishia kuwa Harmonize amekuwa kimziki na kwa kila nyanja ni pamoja na uwezo wake mzuri nilio ushuhudia wa kukabili maswali ya wana habari mbali mbali!

Kwakweli Harmonize ameonesha ukomavu wa hali ya juu na uwezo mkubwa sana wa kujibu maswali kwenye interview alizofanya jana na wengi pengine tulitegemea ange zua gumzo au mtafaruku kutokana na majibu yake lakini ukweli ni kwamba alijibu maswali vizuri akidhihirisha ukomavu wa hali ya juu!

Kwakweli kwenye hili la kujibu maswali na kuhimili maswali amewashinda wasanii wetu wengi sana na wana lakujifunza kutoka kwake!

Harmonize amepiga hatua sana ana stahili pongezi
Manegement yake ilo vzr
Wamesoma so wanaenda kisomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwakweli hata mie nilimkubali sana, ktk majibu yake mengi haoneshi kbs ujivuni...anajishusha down to earth kutambua umuhimu wa watu wote ktk safari & mafanikio aliyoyapata.
kwa hili namfananisha sana na Diamond.

kuna siku nimemsikiliza Omy Dimpoz akihojiwa Clouds pamoja naye Nandy...hana nidham kbs ya mahojiano, anaingilia ingilia maswali yasiomhusu (yameelekezwa kwa Nandy), pia ni mjivuni balaa kwa kifupi aliniboa kishenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana mautani mwengi naona mpaka Nandi alikuwa anakereka vile alivyo kuwa anamtania
 
Konde boy mjeshi
Konde mzungu
ila ngeli ya konde boy ni nyokolaaa 😂😂😂😂😂😂
 
Anajua anachokifanya, anajua weakness ya Opponent wake so anajiribu ku fill the gap . Most of D’s interview he sounds so arrogant n egoist , anajibu maswali anyhow without knowing the consequences, so harmonize kajua hilo na anajaribu kufanya Vice versa , of which he is winning

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kafanya vyema
Anajua anachokifanya, anajua weakness ya Opponent wake so anajiribu ku fill the gap . Most of D’s interview he sounds so arrogant n egoist , anajibu maswali anyhow without knowing the consequences, so harmonize kajua hilo na anajaribu kufanya Vice versa , of which he is winning

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam wana jamvi!

Ni ukweli ulio wazi kabisa Msanii Harmonize amefanikiwa kuweka historia ambayo pengine wengi wetu hatukutarajia kabisa kama Harmonize angeweza kufanya uzinduzi mkubwa namna ile wa album yake!

Katika Jambo ambalo limenithibitishia kuwa Harmonize amekuwa kimziki na kwa kila nyanja ni pamoja na uwezo wake mzuri nilio ushuhudia wa kukabili maswali ya wana habari mbali mbali!

Kwakweli Harmonize ameonesha ukomavu wa hali ya juu na uwezo mkubwa sana wa kujibu maswali kwenye interview alizofanya jana na wengi pengine tulitegemea ange zua gumzo au mtafaruku kutokana na majibu yake lakini ukweli ni kwamba alijibu maswali vizuri akidhihirisha ukomavu wa hali ya juu!

Kwakweli kwenye hili la kujibu maswali na kuhimili maswali amewashinda wasanii wetu wengi sana na wana lakujifunza kutoka kwake!

Harmonize amepiga hatua sana ana stahili pongezi
Kamwacha diamond akilamba lamba lips tuu
 
Anajua anachokifanya, anajua weakness ya Opponent wake so anajiribu ku fill the gap . Most of D’s interview he sounds so arrogant n egoist , anajibu maswali anyhow without knowing the consequences, so harmonize kajua hilo na anajaribu kufanya Vice versa , of which he is winning

Sent from my iPhone using JamiiForums

Binam leo naona umepiga na chongereza kabisa ili binam zako tukuelewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi simjui lakini possibly itakuwa ni hekima inayomfanya apate credits unazozisema. Ukiwa na hekima halafu ukabahatika kupata pesa, pesa hiyo itakufundisha mazuri mengine yaliyobaki ambayo ulikuwa huyajui. Usipokuwa na hekima, itakuwahisha kaburini.
 
kiukweli tu tukiacha unafki ni sawa anajua kujibu maswali lakin amemzidi Alli Kiba labda na Amber luty nafuatilia sana interview za wasanii mbalimbali wanajua kujibu maswali

Japo sikupingi kawazidi wengi ila hao wawili ni zaidi
cjui kama unasikiliza interview za akina
Dogo janja
Young killer
lulu diva
Ben poul
na wengine wengi hao n mfano tu
na kilicho msaidia ni management aliyotika ilijitahidi kuwafanya wasanii wake kuwa na usmart katka kila angle ikiwa pamoja na kichwani
 
Daah Bongo bwana. Unaweza kuta ni harmonize mwenyewe yuko nyuma ya keyboard anajipigia promo, ebu ngoja tuwasikilize wasafi wanasemaje kwa hili
 
Sikuwa na majibu ya moja kwa moja pale nilipokuwa namuona kaka yako kimuziki (aliyekuibua) a.k.a Diamond akivuka mipaka huku na huko, wewe ukiwa unazunguka mikoani kuzindua juice flani.

Juzi nilipokuunga mkono pale mlimani city conference center kwenye uzinduzi wa nyimbo kadhaa sikukuelewa, leo nilipomsikiliza waziri mkuu Kassim Majaliwa nikashituka mara paa, nikagundua hili.

Corona au COVID19 ilihusika kwenye hili sakata la harmonize, ambapo mikusanyiko yooote zikiwepo shule imezuiwa na kufungwa, so kutokana na hilo bigup sana, mlisoma alama za nyakati kwa muda muafaka.

Aluta....
 
Back
Top Bottom