Nani amemfundisha Harmonize kujibu Maswali vizuri mbele ya camera? Amepiga hatua kubwa na amewazidi wasanii wengi

Nani amemfundisha Harmonize kujibu Maswali vizuri mbele ya camera? Amepiga hatua kubwa na amewazidi wasanii wengi

Kwa hiyo mtu kukosa show za nje unataka kuzihusisha na Corona ?
 
Makanyaga , umeniacha hoi , "ukiwa na hekima ukapata pesa utajifunza mengi na utafika mbali , ila huna hekima ukipata pesa utaingia kaburini" big up !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mtu kukosa show za nje unataka kuzihusisha na Corona ?
Ukilima, kuvuna kwa wakati na ukapata mavuno uliyotarajia unafurahi ila jirani yako ambaye ameshindwa kulima lazima umuonee huruma.
 
Mtoa mada kashangilia uzinduzi tu nadhani hakujua ulikua ni uzinduzi wa kitu gani labda nikufahamishe tu pale alikua nazindua album yake na nae pia alikua anategemea kipindi hiki aitangaze zaid na iuzike kwa wingi lakin hili janga pia limemuathiri hasa baada ya kusambaa Afrika kila media ni corona tu mitandao ya kijamii nayo inaongelea corona na sio album tena hata ww pia umeongelea corona na sio kupromote album

Ndgu imewaumiza wote kila mmoja kwa upande wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikiliza nyimbo zake 4..ikiwemo ile Diena Khaligraph Jones ila amesample vibaya sana nyinbo ile ya wyclef Jean ft MiA -she used to be a sweetest girl kama hakuomba copyright kisample hio beat itakuja mletea shida siku za mbeleni
 
Nyimbo ikifikisha miaka 15 unaitumia bila kuomba (mdundo wa wimbo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom