Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Sasa kama hajionyeshi kwenye KUJIBU HAYO MASWALI, umejuaje kama anajua?Kiba anajua sana kujibu maswali ila hataki kujionyesha
Manegement yake ilo vzrWasalaam wana jamvi!
Ni ukweli ulio wazi kabisa Msanii Harmonize amefanikiwa kuweka historia ambayo pengine wengi wetu hatukutarajia kabisa kama Harmonize angeweza kufanya uzinduzi mkubwa namna ile wa album yake!
Katika Jambo ambalo limenithibitishia kuwa Harmonize amekuwa kimziki na kwa kila nyanja ni pamoja na uwezo wake mzuri nilio ushuhudia wa kukabili maswali ya wana habari mbali mbali!
Kwakweli Harmonize ameonesha ukomavu wa hali ya juu na uwezo mkubwa sana wa kujibu maswali kwenye interview alizofanya jana na wengi pengine tulitegemea ange zua gumzo au mtafaruku kutokana na majibu yake lakini ukweli ni kwamba alijibu maswali vizuri akidhihirisha ukomavu wa hali ya juu!
Kwakweli kwenye hili la kujibu maswali na kuhimili maswali amewashinda wasanii wetu wengi sana na wana lakujifunza kutoka kwake!
Harmonize amepiga hatua sana ana stahili pongezi
Ana mautani mwengi naona mpaka Nandi alikuwa anakereka vile alivyo kuwa anamtaniakwakweli hata mie nilimkubali sana, ktk majibu yake mengi haoneshi kbs ujivuni...anajishusha down to earth kutambua umuhimu wa watu wote ktk safari & mafanikio aliyoyapata.
kwa hili namfananisha sana na Diamond.
kuna siku nimemsikiliza Omy Dimpoz akihojiwa Clouds pamoja naye Nandy...hana nidham kbs ya mahojiano, anaingilia ingilia maswali yasiomhusu (yameelekezwa kwa Nandy), pia ni mjivuni balaa kwa kifupi aliniboa kishenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua anachokifanya, anajua weakness ya Opponent wake so anajiribu ku fill the gap . Most of D’s interview he sounds so arrogant n egoist , anajibu maswali anyhow without knowing the consequences, so harmonize kajua hilo na anajaribu kufanya Vice versa , of which he is winning
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kamwacha diamond akilamba lamba lips tuuWasalaam wana jamvi!
Ni ukweli ulio wazi kabisa Msanii Harmonize amefanikiwa kuweka historia ambayo pengine wengi wetu hatukutarajia kabisa kama Harmonize angeweza kufanya uzinduzi mkubwa namna ile wa album yake!
Katika Jambo ambalo limenithibitishia kuwa Harmonize amekuwa kimziki na kwa kila nyanja ni pamoja na uwezo wake mzuri nilio ushuhudia wa kukabili maswali ya wana habari mbali mbali!
Kwakweli Harmonize ameonesha ukomavu wa hali ya juu na uwezo mkubwa sana wa kujibu maswali kwenye interview alizofanya jana na wengi pengine tulitegemea ange zua gumzo au mtafaruku kutokana na majibu yake lakini ukweli ni kwamba alijibu maswali vizuri akidhihirisha ukomavu wa hali ya juu!
Kwakweli kwenye hili la kujibu maswali na kuhimili maswali amewashinda wasanii wetu wengi sana na wana lakujifunza kutoka kwake!
Harmonize amepiga hatua sana ana stahili pongezi
Anajua anachokifanya, anajua weakness ya Opponent wake so anajiribu ku fill the gap . Most of D’s interview he sounds so arrogant n egoist , anajibu maswali anyhow without knowing the consequences, so harmonize kajua hilo na anajaribu kufanya Vice versa , of which he is winning
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wengine wajuzi wa kubisha tuKama ulibahatika kusikiliza mahojiano yake alipotoka Wasaf akihojiwa na Clouds ktk XXL ungeamin kbsa dogo anajua kujielezea vzr.. Mjanja sn wa kukwepa mitego
Sent using Jamii Forums mobile app