Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Nipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm.
Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha kwa kauli zake atalitia taifa katika mkanganyiko mkubwa.
Leo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao taka JUMLA ya waliuawa itajwe ni wale AMBAO waliaidiwa na WAUAJI yakuwa wakiuuawa watu kadhaa watapewa mabilioni ya fedha.
Sasa MWIGURU anasema hawatasema Ili watu hao wakose hayo mabilioni ya fedha 🤣😂🤣😂🤣😭nacheka kwa sababu ni kauli ya OVYO KABISA .
KAULI ya pili ni kuwa hawatatoa katiba wakiwa wameshikiwa mawe
Swali amemshikia MWIGURU mawe?je kama yeye kashikiwa mawe yeye na wenzake wameshika Nini?
Mwisho Nina swali vitu anavyo kagua vinathamano kuliko uhai wa watu?je anakubali hakuna aliyepoteza mtu walau aende akampe MKONO WA pole ?
Kama HAMJUI, basi namwelekeza kwa master tindwa wa clouds fm