Huyu ni kikalagosi cha wazenj wamempa hicho cheo ili adharirikeNipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm.
Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha kwa kauli zake atalitia taifa katika mkanganyiko mkubwa.
Leo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao taka JUMLA ya waliuawa itajwe ni wale AMBAO waliaidiwa na WAUAJI yakuwa wakiuuawa watu kadhaa watapewa mabilioni ya fedha.
Sasa MWIGURU anasema hawatasema Ili watu hao wakose hayo mabilioni ya fedha 🤣😂🤣😂🤣😭nacheka kwa sababu ni kauli ya OVYO KABISA .
KAULI ya pili ni kuwa hawatatoa katiba wakiwa wameshikiwa mawe
Swali amemshikia MWIGURU mawe?je kama yeye kashikiwa mawe yeye na wenzake wameshika Nini?
Mwisho Nina swali vitu anavyo kagua vinathamano kuliko uhai wa watu?je anakubali hakuna aliyepoteza mtu walau aende akampe MKONO WA pole ?
Kama HAMJUI, basi namwelekeza kwa master tindwa wa clouds fm
Huyu kubwa j anadhani hii nchi ni mali yake. Ni swala la muda tu tutamalizana nayeNipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm.
Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha kwa kauli zake atalitia taifa katika mkanganyiko mkubwa.
Leo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao taka JUMLA ya waliuawa itajwe ni wale AMBAO waliaidiwa na WAUAJI yakuwa wakiuuawa watu kadhaa watapewa mabilioni ya fedha.
Sasa MWIGURU anasema hawatasema Ili watu hao wakose hayo mabilioni ya fedha 🤣😂🤣😂🤣😭nacheka kwa sababu ni kauli ya OVYO KABISA .
KAULI ya pili ni kuwa hawatatoa katiba wakiwa wameshikiwa mawe
Swali amemshikia MWIGURU mawe?je kama yeye kashikiwa mawe yeye na wenzake wameshika Nini?
Mwisho Nina swali vitu anavyo kagua vinathamano kuliko uhai wa watu?je anakubali hakuna aliyepoteza mtu walau aende akampe MKONO WA pole ?
Kama HAMJUI, basi namwelekeza kwa master tindwa wa clouds fm
Nipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm.

Mwigulu hana akili.. ni sifuri kabisa yaan hilo swali hajawahi kujiuliza kabla hajaropoka.. PM feki..kama wanaharakati wamelipwa ili idadi fulani ya watu wafe, basi watakuwa pia wamelipwa ili idadi fulani ya miundombinu, vituo vya polisi, mali na serikali, iwe imeharibiwa. Kwa msingi huo Mwigulu hapaswi kutaja hata idadi ya mali au miundombinu iliyoharibika.
Upo sahii ,Mwigulu tz sio uvcc sio wizara tu uliokua ukifanya madesa ya Trap na Tret, wananchi wanakuchora siku wakikamata iyo tai yako wakuvute nayo km 50 ndo utajua hujuiViatu vya uwaziri mkuu vinamhitaji mtu mwenye busara na hekima nyingi. Kinyume na hapo, inakuwa ni kituko tu.
Upo sahii ,Mwigulu tz sio uvcc sio wizara tu uliokua ukifanya madesa ya Trap na Tret, wananchi wanakuchora siku wakikamata iyo tai yako wakuvute nayo km 50 ndo utajua hujui
Kama ni hivyo walioua ndio waliolipwa, yaani polisi, kmkm pamoja na waliowatuma, yaani Kikwete na SamuyaLeo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao taka JUMLA ya waliuawa itajwe ni wale AMBAO waliaidiwa na WAUAJI yakuwa wakiuuawa watu kadhaa watapewa mabilioni ya fedha.
Hii pia mkuu tulipo haisaidii , wananchi wanajua hii serikali imeingiaje madarakani achana na wateule wake hawa , watu bado wapo na machungu na ndugu zao , hawa utawaeleza nini?..Mwigulu angekuwa na akili angewapa wananchi nafasi ya kuzungumza ili wamueleze mitizamo yao, na changamoto zao.
nakaziaViatu vya uwaziri mkuu vinamhitaji mtu mwenye busara na hekima nyingi. Kinyume na hapo, inakuwa ni kituko tu.