Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Anatupeleka hukuMiaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo?
Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano akawa anamilikisha ardhi Kwa wageni akiamini anainua kilimo tutakuwa tunakosea? Ana uhakika kwamba anaowaita wawekezaji ni wawekezaji au niwamiliki WA ardhi?
Ni sumu zinazokubalika kiafya with minimal effects.Mimi nalia na sumu zinazopulizwa kwenye mazao, hasa matunda na mbogamboga, nilikuwa Iringa, eneo linaitwa Isagwa, dear God! sumu inayopulizwa kwenye nyanya halafu tunakula kachumbari ni mauaji, wale vijana wanapuliza hizo sumu wapo na vishati vyepesi wamelowa zile sumu mwili mzima, hata sijui mwisho wake utakuwaje?
Hili nalo tulitazame jamani.
Subiri chawa wake waje kukushambulia.Miaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo?
Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano akawa anamilikisha ardhi Kwa wageni akiamini anainua kilimo tutakuwa tunakosea? Ana uhakika kwamba anaowaita wawekezaji ni wawekezaji au niwamiliki WA ardhi?
Subiri chawa wake waje kukushambulia.
Duuuh! Asante kwa ufafanuzi chief, ila zinatisha mzee, haya magonjwa siku hizi mpaka watoto wadogo wana cancer mimi naona vitisho vitupu.Ni sumu zinazokubalika kiafya with minimal effects.
Kakudanganya nani? wewe ombea tu Mungu aendelee kukulinda........hizo kemikali na namna zinavyotumika na hao wakulima si jambo la mchezo mchezo.Ni sumu zinazokubalika kiafya with minimal effects.
Na pia haieleweki wapi kafaulu mpaka sasa??Waziri sijaona wapi kafeli hadi sasa
Waulizeni watu wa kusini, walionunua 70% ya mbolea ya Ruzuku aka Bashe mbolea. Wao wanajua zaidi kuliko hawa walaji wa mazao ya kilimo waliopo Dar na miji mingine.Miaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo?
Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano akawa anamilikisha ardhi Kwa wageni akiamini anainua kilimo tutakuwa tunakosea? Ana uhakika kwamba anaowaita wawekezaji ni wawekezaji au niwamiliki WA ardhi?
Madalali wa biashara ya nafaka watakutukana mpaka ujute kuketa huu uzi wako.Miaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo?
Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano akawa anamilikisha ardhi Kwa wageni akiamini anainua kilimo tutakuwa tunakosea? Ana uhakika kwamba anaowaita wawekezaji ni wawekezaji au niwamiliki WA ardhi?
Nchi inauza vyakula bora nje ya nchi na kuagiza vyakula vibovu kutoka Mashariki ya kati.Bashe apewe muda amekutana na ufunguzi wa mipaka kama sera ya sasa ya rais Samia na ukame pia vita ya Ukraine iliyotatiza mzunguko wa chakula duniani huku wakulima wakitaka kuuza nje zaidi
USSR
Bashe sio waziri wa ardhiMiaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je, unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo?
Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano akawa anamilikisha ardhi kwa wageni akiamini anainua kilimo tutakuwa tunakosea? Ana uhakika kwamba anaowaita wawekezaji ni wawekezaji au niwamiliki wa ardhi?
Washakufa watu wangapi na hizo sumu ?Mimi nalia na sumu zinazopulizwa kwenye mazao, hasa matunda na mbogamboga, nilikuwa Iringa, eneo linaitwa Isagwa, dear God! sumu inayopulizwa kwenye nyanya halafu tunakula kachumbari ni mauaji, wale vijana wanapuliza hizo sumu wapo na vishati vyepesi wamelowa zile sumu mwili mzima, hata sijui mwisho wake utakuwaje?
Hili nalo tulitazame jamani.
Kwahiyo unataka wafe ndio hatua zichukiliwe, akili zingine nazo.Washakufa watu wangapi na hizo sumu ?
Ni maneno mengi tu hana maajabu yoyote yale!!ndio maana kuna mbunge ameuliza inakuwaje bajeti iliyopita kuna pesa ilitengwq bilioni 200!!lakini hadi leo ni bilioni 40 tu ndio imepelekwa!!sawa tuna mdanganya nani?!!Na pia haieleweki wapi kafaulu mpaka sasa??